Masogange akamatwa kwa tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya

Awataje waliyomtuma hko hyo atakuwa anajua vizuri mtandao wa kupeleka efedrin hko kwa mandela....

Ova
 
Habari wanaJF,

TAARIFA zilizotufikia, zinaeleza kwamba Video Queen maarufu Tanzania, Agness Gerald almaarufu "Masogange", anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo Kikuu (Central) akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 470743

Masogange alikamatwa na Polisi jana usiku na taarifa zinaeleza kwamba mpaka sasa bado anashikiliwa central.

Mwanadada huyo anaingia kwenye orodha ya wasanii wengine na watu maarufu nchini, walioshikiliwa na wanaoendelea kushikiliwa wakihusishhwa na sakata la matumizi na biashara ya Dawa za Kulevya, katika vita kali inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Taarifa zaidi kuhusu kukamatwa kwa Masogange zitafuatia...

> Ikumbukwe kuwa tuhuma za Mlimbwende huyu kuhusika na matandao wa baishara za Dawa za Kulevya ilishawahi kujadiliwa katika uzi huu; Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
Vitahii sasahivi haiongozwi tena na Dogojanja
Ndo mana hakuweza kutaja majina kwenye awamu ya tatu
Sasahivi vita amekabidhiwa waziri mkuu ikisimamiwa na kamishna mkuu.
Huyu tototundu wako hebu msahau kwanza. Labda umfatilie atakapokwenda kukalia kiti moto mjengoni.
 
Lakinini ni kwa nini central police na sii tume ya kudhibiti madawa?
Au labda muniambie ofisi za tume zipo pale central police. Kama sivyo basi mujue hii ni mission ya kusafishwa kabla hajafikiwa na wataalamu katika uchunguzi kutoka katika tume ya kudhibiti dawa za kulevya.
Subirini muone mtu anavyosafishwa kiulaini.
Ata Takukuru wanatumia ofisi za polisi kuhifadhi watuhumiwa....Tume haina mahabusu...
 
Habari wanaJF,

TAARIFA zilizotufikia, zinaeleza kwamba Video Queen maarufu Tanzania, Agness Gerald almaarufu "Masogange", anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo Kikuu (Central) akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 470743

Masogange alikamatwa na Polisi jana usiku na taarifa zinaeleza kwamba mpaka sasa bado anashikiliwa central.

Mwanadada huyo anaingia kwenye orodha ya wasanii wengine na watu maarufu nchini, walioshikiliwa na wanaoendelea kushikiliwa wakihusishhwa na sakata la matumizi na biashara ya Dawa za Kulevya, katika vita kali inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Taarifa zaidi kuhusu kukamatwa kwa Masogange zitafuatia...

> Ikumbukwe kuwa tuhuma za Mlimbwende huyu kuhusika na matandao wa baishara za Dawa za Kulevya ilishawahi kujadiliwa katika uzi huu; Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
Huyu itakuwa hakuwemo kwenye orodha ya Makonda! Sasa kuna wazee wa kazi wanaofanya kazi tofauti na alivyokuwa akifanya Makonda, kama Makonda angeendelea huyu asingekamatwa!
 
Hata kama Makonda hamumpendi,Lakini msichukulie maneno ya juu juu ya Wema Sepetu kuwa huyo kijana anatembea na huyu Masogange!!Kwa namna ya maisha ya Insta na vijana wa siku hizi,kama RC angekuwa anapumzika kwenye hicho "choo",habari zinsingesubiri mpaka muda wa madawa.

Ukitaka kujua mtandao wa huyu dada ulivyo kabambe,muulize Dr Harisson Mwakyembe!Aliabika baada ya kujidai anashikiria bango halafu "wazee wa ngada" wakamtumia salamu akarudi nyuma hatua mia.

Huyu dada abanwe aeleze tu mtandao wake!Kuanzia hapa bongo mpaka Afrika Kusini.Inajulikana siku ile anakuja Airport,mara ya mwisho alikuwa kwenye mgahawa wa rafiki yake na Le Mutuz,yule jamaa wa Jambo Leo (kabla hajalinunua Manji).Huyu ndiye aliyemsindikiza Masogange na yule binti na mabegi mpaka Airport.Yule binti aliyekuwa na Masogange alikuwa mtumishi ktk huo mgahawa wa huyo jamaa katikati ya mji.Sasa kama aliyewasindikiza,ndiyo huyohuyo mmoja wa waliokamatwa ni mfanyakazi wake,maanake J.Pinto anajua kila kitu.

Kule Afrika Kusini alipokelewa na wenyeji wake,ambao wana ukaribu na mtoto wa kiongozi wa vita vya Majimaji,yule ndio hata Magwea alikufa akiwa na mzigo wake tumboni,ndio maana ukiangalia picha za jeneza na Ngwea wakati wanatoa Mochwari,jamaa alikuwa kabeba jeneza jujuu akihakikisha kuwa mzigo unafika salama na issue haibumbuluki.

Ni bahati mbaya kipindi cha msiba wa Magwea aliyekufa na mzigo tumboni,tulitekwa na matangazo ya Radio Mawingu waliokuwa wanafuatilia msiba moja kwa moja toka South Africa ili kuwapoteza watu maboya!!

Akimaliza Masogange,asipoitwa Juma Pinto na Kinje,itakuwa ajabu,kama vile ajabu ya kwa Taifa Stars ya sasa,wakaachwa kuitwa Mbwana Samatta na Ulimwengu Thomas(wakati sio majeruhi) halafu akaitwa Mwaikimba eti kama mshambuliaji tegemeo!!
 
Habari wanaJF,

TAARIFA zilizotufikia, zinaeleza kwamba Video Queen maarufu Tanzania, Agness Gerald almaarufu "Masogange", anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo Kikuu (Central) akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 470743

Masogange alikamatwa na Polisi jana usiku na taarifa zinaeleza kwamba mpaka sasa bado anashikiliwa central.

Mwanadada huyo anaingia kwenye orodha ya wasanii wengine na watu maarufu nchini, walioshikiliwa na wanaoendelea kushikiliwa wakihusishhwa na sakata la matumizi na biashara ya Dawa za Kulevya, katika vita kali inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Taarifa zaidi kuhusu kukamatwa kwa Masogange zitafuatia...

> Ikumbukwe kuwa tuhuma za Mlimbwende huyu kuhusika na matandao wa baishara za Dawa za Kulevya ilishawahi kujadiliwa katika uzi huu; Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
Hivi binadamu kama haya huwa wana wazazi na ndugu kweli.Maana maisha yao yamejaa vituko na mikiki mikiki ya kila aina. They actually look like sex objects.Wakamatwe tu,wametuabisha sana.
 
Tanieni weee+lakini mimi roho inaniuma pale mijitu yenyr roho mbaya inaposhupalia kumfungia kiumbe maridhawa huyu!
 
Back
Top Bottom