niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,579
- 5,241
Wasomi wanasema masanja ni jipu. Kulima hawataki, wanataka masanja alime atunze mazao kwenye ghara, msomi aende kuomba kazi ya storekeeper ili avae tai.Acheni mkulima masanja atumie jasho lake, maana nasikia jamaa anachakalika na kilimo si mchezo.