Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

Tatizo Marekani iliwaachia muingie sana kule na kuzaliana, walipaswa kuzuia kama ilivyo Poland ambapo wanaishi kwa amani.
Niliona mnadiriki kubwatuka yale madude yenu "death to America" Mkiwa ndani ya Marekani yenyewe.
Wazungu wana demokrasia ya kijinga sana, mthubutu kuyafanya China.

1. Washiriki wakuu wa maandamano haya ni Mayahudi:

IMG_20240429_082119.jpg

2. Muyahudi koko wewe wa pande za kwetu, utatuambia nini?

IMG_20240429_082325~2.jpg

3. Utatuambia Nini?

IMG_20240429_082420.jpg

IMG_20240429_082506~2.jpg
 
Unafiki wenye Kiwango cha PhD 🤔
......
Liberal students in America:

5.5M killed in Congo 🥱
500K killed in Syria 🥱
500K killed in Sudan 🥱
400K killed in Yemen 🥱
300K killed in Iraq 🥱
250K killed in Afghanistan 🥱
20K killed in Gaza: GENOCIDE!! 😱

No Jews, no news. They care about Gaza only because of their antisemitism.

(Eli David)
 
1. Siwaoni kwenye list yako Ben, Azory, Lijenje, Mawazo au wengine waliwahi kuokotwa kwenye viroba.

2. Siwaoni popote wa kupotezwa na wala neno wasiojulikana popote kwenye andiko lako.

3. Zaidi sana sijui kama Unatambua tofauti ya tatizo la Palestina na yote hayo uliyoorodhesha na kuwa ni kwa nini ni suala lenye kupigiwa kelele hivi?

4. Kumbe wewe hujui kote ulikotaja kuna hadi askari wa kimataifa wakiwamo wa Tanzania hata waliofia huko?

5. Kumbe hata hujui na utakuwa unawashangaa kina Nyerere, Mandela na hata dunia Kwa ujumla wao kuhusu suala hili?

IMG_1567.jpg

6. Kwani basi hata kama tuseme hapo #5 wewe ni mwerevu zaidi kuliko hao, umefanya nini kama wewe kuyahusu madhila ya huko ulikoorodhesha?

7. Hadi hapo hudhani kuwa wewe ni "mbumbumbu mjuaji" tu tena wa kuhurumiwa mno?!

8. Rudini shule ndugu, "umbumbu ujuaji" ni Laana!

9. Au ulikuwa walia machozi ya mamba tu, ndugu?
 
Hao ndio waandamaji wewe mvaa vipedo misuli na makobazi wahedi 🤔
....
Foreign influence runs deep in US campuses!

Hamas supporters, not even American students, pushed into elite schools with major funding from foreign governments.

Qatar, hosting Hamas leaders, has poured $5 billion into American universities since 2001, often without transparency. This money shields Hamas sympathizers from consequences—universities too hooked on cash to take action.
FB_IMG_1714451476403.jpg
 
Huna unachojua, ni maandamano ya wamarekani Marekani ni taifa la wahamiaji Kwa hiyo ni watu mchanganyiko , Mkimbizi hana nafasi ya kuandamana
Hawa ndio Aina ya waandamanaji wewe mvaa vipedo misuli na makobazi wahedi 🤔
....
Foreign influence runs deep in US campuses!

Hamas supporters, not even American students, pushed into elite schools with major funding from foreign governments.

Qatar, hosting Hamas leaders, has poured $5 billion into American universities since 2001, often without transparency. This money shields Hamas sympathizers from consequences—universities too hooked on cash to take action.
FB_IMG_1714451476403.jpg
 
Hao ndio waandamaji wewe mvaa vipedo misuli na makobazi wahedi 🤔
....
Foreign influence runs deep in US campuses!

Hamas supporters, not even American students, pushed into elite schools with major funding from foreign governments.

Qatar, hosting Hamas leaders, has poured $5 billion into American universities since 2001, often without transparency. This money shields Hamas sympathizers from consequences—universities too hooked on cash to take action.
View attachment 2977171
Wewe mvaa msalaba wa mbao kilo 10 huu uharo unasaidia nini? Mashoga peke yao ndiyo wanaweza kuamini hizi propaganda 😀 na bado tulieni tu dawa iingie. Maandamno ya Marekani wamesababiswa na Qatar siyo mauaji ya Watoto Gaza.? Wewe punguani kweli tena ujinga wako umefika kiwango cha mwisho.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1785160747426660587?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hawa ndio Aina ya waandamanaji wewe mvaa vipedo misuli na makobazi wahedi 🤔
....
Foreign influence runs deep in US campuses!

Hamas supporters, not even American students, pushed into elite schools with major funding from foreign governments.

Qatar, hosting Hamas leaders, has poured $5 billion into American universities since 2001, often without transparency. This money shields Hamas sympathizers from consequences—universities too hooked on cash to take action.
View attachment 2977180
Wewe punguani Hamas wengine hawa hapa wapo Texas. Wote waarabu hamna mzugu hata mmoja 😀 hivi nyie walokole JF hivi haya maandamano nyie mnaumia nini. Maandamo yapo mpaka Israel kwenyewe nyie waisrael weusi hamtaki😀

View: https://x.com/marionawfal/status/1785030734186418364?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanafunzi hawa Wajasiri wanaongoza ulimwenguni kwa kusimama kwa Palestina 🇵🇸
 
Maandamno ya Marekani wamesababiswa na Qatar siyo mauaji ya Watoto Gaza.? Wewe punguani kweli tena ujinga wako umefika kiwango cha mwisho.
Una tatizo wewe mtu mwenye mihemuko. Aliyeanzisha vita ni Israeli hiyo October, 7?Hamas kuweka miundombinu yao sehemu za raia ndio chanzo cha vifo vya hao wavaa vipedo wenzako. Kwanini wasiweke kambi zao mbali na raia, hao mnaita wanawake na watoto, kama wanawapenda wapalestina wenzao? Inakuwaje misikiti, hospitals, makazi ya watu kuwa base za jeshi kama Sio ukichaa? Halafu Israeli iliposhambuliwa raia wake mlishangalia Sasa mnalalamika. Hayo ndio madhara ya vita 🤔
 
Ndiyo maana nakuita puguani wahwed vita vya Gaza vilianza Oct 7?

Walokole wengi wa JF habari za Gaza umezifahamu juzi kupitia JF sasa mtu kama huyu anakuambia vita vimeanza OCt 7 si jinga la mwisho.
 
BREAKING: Chuo Kikuu cha Jumuiya ya Madola cha Virigina - Polisi wanawarushia vitoa machozi wanafunzi wa VCU USIKU.

Maandamano yao yalikuwa ya amani kabisa!

Hili ndilo taifa linalovamia mataifa mengine kufundisha demokrasia - AMERICA!
 
Back
Top Bottom