Marejesho: Mke wangu hataki kufanya mapenzi na mimi kabisa

Hongera sana Mkuu, hayo ndiyo maamuzi sahihi ya mtu aliekomaa. Maisha yenyewe haya, halafu akuletee stress za kipuuzi wakati kusudio la ndoa ni kufarijiana. Mbaya zaidi hataki kutafuta suluhisho wala kujisumbua ili mlitatue pamoja.
Wanawake wako wengi sana, utapata mtu mwenye appetite na mambo kama hayo sio wa kufugwa tu bila kukupatia raha ya tendo la ndoa.
 
Mkuu we mpole sana huyo angetakiwa ale talaka ya mateke na mbao za kutosha ili arudi kwao na kilio.
Mtu kapelekwa kwa wataalamu ili wasuluhishwe na kupata ufumbuzi, kanunuliwa ticket akabadili mazingira ajirudi, bado mtu hasomeki tu, wa nini sasa?
Hata angekuwa mwanamke kaomba talaka katika mazingira kama haya, Ningemsupport kwa nguvu zote. Hamna namna.
 
pole sana mkuu,ila ndoa ndio kipimo cha ukamilifu wa mwanaume,inataka uvumilivu na kusameheana kwingi,ungemsikiliza anataka nini?pia ungempa muda kidogo, kwenye ndoa kuna mengi zaidi ya sex mkuu, Je hamkuwa na watoto?
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa, Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo!.

Hizi ni salamu za shukrani nyingi kwenu wanajamii kama mnakumbuka siku chache zilizopita nilileta maada nikiomba kushea nanyi yaliyokuwa yakinisibu, Kiukweli kwa dhati kabisa nawashukuruni nyote mlio nishauri, mlio nipa pole, na hata mlio nikejeri hakika nimejifunza mengi kikubwa nasema asanteni!


Kilichotokea nyuma ya pazia baada ya ushauri wenu mwingi nilipata connection nyingi saaana za wataalamu nimejitahidi kwenda na mke wangu kwa wataalamu hao wa mahusiano na ndoa kwa mazungumzo na ushauri.


Nilishauriwa japo kufanya tofauti nipate likizo kidogo niondoke nae pahala tofauti na nyumbani alipozoea nikaona jambo la msingi.
Nilichagua kwenda kutembea nae Zanzibar tutoke Dsm nikafanya booking ya Chumba na kukata ticket za ndege go and return

Cha ajabu huyu mwanamke amekataa kusafiri kwenda huko! Tumevurugana sana. Juzi nikaamua kumpeleka kwao japo akapumzike aniache peke yangu kwa mda amekataa! "Nimeamua kutoa Talaka tatu jana" hakuna namna nyingine potelea kote wacha tugawane kilichopo ntaanza upya mtoto wa kiume...."ama kweli sikio la kufa halisikii dawa"

"NI HAYO YARIYO JIRI ASANTENI"
 
Sometime tunalazimika kuchukua maamuzi mahumu sana. Pole ndugu
 
Suala la kugawana kitu chochote na mwanamke mama Wa nyumbani kwangu halipo kabisaa, labda aniuwe arithi. Nitagawana Mali na mwanamke mchakarikaji au mwajiriwa, anayechangia pato la familia, akiniona nimejiinamia nawaza ananiuliza kulikoni, nikimwambia hesabu haziendi nahitaji milioni saba anabiambia ana tano kwenye akaunti tufikirie tunapataje mbili! Siyo yupo tu nyumbani, nimemwajiria wasaidizi wawili, halafu akiona maisha yanaenda vizuri aanze visa ili tuachane tupasue Mali katikati, itakula kwake, atapatwa na mshangao Wa mwaka kitachotokea!
 
Pole ndugu pole saana!Je mngekuwa mmefunga ndoa zetu za ki kristo ungefanyaje!!?nahisi hata kama hamkuwa mnaelewana miaka 3 still mlikuwa na nafasi ya kukaa chini,kushirikisha watu wengine,masheikh,ndugu wengine,nina iman mngekaa sawa!sina uhakika kama alipata wasaa wa kukueleza yake ya moyoni na ukayafanyia kazi!!!otherwise kwa ndoa za kiislamu(talaka tatu) nina uhakika unajiandaa kufunga ingine siku chache zijazo.....☹☹☹!!!!

Hata hao Wa ndoa za kanisani mbona wanaachana kila kukicha huku mitaani!!!
 
Pole mkuu du sijapata kuona mwanamke anakataa kutombw.....ninacho jua mwanamke huwa wa kwanza kutaka kutombw.... ukishagusa sehemu sehemu,chukua jiko lingine
 
Mmmh! Yaweza kuwa alikuwa anakuepusha ña balaa, Labda kagundua afya yake si nzuri, Ila kukwambia alikuwa anashindwa,
 
Back
Top Bottom