Marejesho: Mke wangu hataki kufanya mapenzi na mimi kabisa

umechukua maamuzi magum sana,sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kufanya hivyo...talaka..?,3..?
 
Pole sana mkuu na vp alilichukuliaje swala la yeye kupata talaka 3?
 
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa, Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo!.

Hizi ni salamu za shukrani nyingi kwenu wanajamii kama mnakumbuka siku chache zilizopita nilileta maada nikiomba kushea nanyi yaliyokuwa yakinisibu, Kiukweli kwa dhati kabisa nawashukuruni nyote mlio nishauri, mlio nipa pole, na hata mlio nikejeri hakika nimejifunza mengi kikubwa nasema asanteni!

Kilichotokea nyuma ya pazia baada ya ushauri wenu mwingi nilipata connection nyingi saaana za wataalamu nimejitahidi kwenda na mke wangu kwa wataalamu hao wa mahusiano na ndoa kwa mazungumzo na ushauri.

Nilishauriwa japo kufanya tofauti nipate likizo kidogo niondoke nae pahala tofauti na nyumbani alipozoea nikaona jambo la msingi.
Nilichagua kwenda kutembea nae Zanzibar tutoke Dsm nikafanya booking ya Chumba na kukata ticket za ndege go and return

Cha ajabu huyu mwanamke amekataa kusafiri kwenda huko! Tumevurugana sana. Juzi nikaamua kumpeleka kwao japo akapumzike aniache peke yangu kwa mda amekataa! "Nimeamua kutoa Talaka tatu jana" hakuna namna nyingine potelea kote wacha tugawane kilichopo ntaanza upya mtoto wa kiume...."ama kweli sikio la kufa halisikii dawa"

"NI HAYO YARIYO JIRI ASANTENI"
Bora aisee umetua mzigo huo
 
Life is too short, Muda unakimbia haumsubiri mtu, maisha yanaenda race. Life is short to sit back and kumbembeleza mtu asiyekuhitaji.

Nice one, enjoy your life man
 
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa, Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo!.

Hizi ni salamu za shukrani nyingi kwenu wanajamii kama mnakumbuka siku chache zilizopita nilileta maada nikiomba kushea nanyi yaliyokuwa yakinisibu, Kiukweli kwa dhati kabisa nawashukuruni nyote mlio nishauri, mlio nipa pole, na hata mlio nikejeri hakika nimejifunza mengi kikubwa nasema asanteni!

Kilichotokea nyuma ya pazia baada ya ushauri wenu mwingi nilipata connection nyingi saaana za wataalamu nimejitahidi kwenda na mke wangu kwa wataalamu hao wa mahusiano na ndoa kwa mazungumzo na ushauri.

Nilishauriwa japo kufanya tofauti nipate likizo kidogo niondoke nae pahala tofauti na nyumbani alipozoea nikaona jambo la msingi.
Nilichagua kwenda kutembea nae Zanzibar tutoke Dsm nikafanya booking ya Chumba na kukata ticket za ndege go and return

Cha ajabu huyu mwanamke amekataa kusafiri kwenda huko! Tumevurugana sana. Juzi nikaamua kumpeleka kwao japo akapumzike aniache peke yangu kwa mda amekataa! "Nimeamua kutoa Talaka tatu jana" hakuna namna nyingine potelea kote wacha tugawane kilichopo ntaanza upya mtoto wa kiume...."ama kweli sikio la kufa halisikii dawa"

"NI HAYO YARIYO JIRI ASANTENI"
Mkuu we mpole sana huyo angetakiwa ale talaka ya mateke na mbao za kutosha ili arudi kwao na kilio.
 
Nadhani unefanya haraka kutoa talaka rafiki yangu alikaa na mke wake kwnye ndoa miaka mitano na kuwa na watoto 2 ghafla mwanamke akabadirika hakumpa haki yake kwa miaka 7,baadaye akajirudi mwenyewe...kuna huduma ulitakiwa kuanza kusitisha kabla ya kufikia hapo..kumwekea vikwazo ambavyo ataona umuhimu wako wewe.mambo yawanawake hayo yanakuja na kuisha..muhimu ni maombi zaidi
 
Duh mkuu ungelimpa moja akafikirie lakini tatu huo uamuzi wa hasira mbona. Kuna siku moyo utarudi lakini kikwazo kikawa talaka tatu ulizotoa.
 
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa, Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo!.

Hizi ni salamu za shukrani nyingi kwenu wanajamii kama mnakumbuka siku chache zilizopita nilileta maada nikiomba kushea nanyi yaliyokuwa yakinisibu, Kiukweli kwa dhati kabisa nawashukuruni nyote mlio nishauri, mlio nipa pole, na hata mlio nikejeri hakika nimejifunza mengi kikubwa nasema asanteni!

Kilichotokea nyuma ya pazia baada ya ushauri wenu mwingi nilipata connection nyingi saaana za wataalamu nimejitahidi kwenda na mke wangu kwa wataalamu hao wa mahusiano na ndoa kwa mazungumzo na ushauri.

Nilishauriwa japo kufanya tofauti nipate likizo kidogo niondoke nae pahala tofauti na nyumbani alipozoea nikaona jambo la msingi.
Nilichagua kwenda kutembea nae Zanzibar tutoke Dsm nikafanya booking ya Chumba na kukata ticket za ndege go and return

Cha ajabu huyu mwanamke amekataa kusafiri kwenda huko! Tumevurugana sana. Juzi nikaamua kumpeleka kwao japo akapumzike aniache peke yangu kwa mda amekataa! "Nimeamua kutoa Talaka tatu jana" hakuna namna nyingine potelea kote wacha tugawane kilichopo ntaanza upya mtoto wa kiume...."ama kweli sikio la kufa halisikii dawa"

"NI HAYO YARIYO JIRI ASANTENI"
uamuzi mgumu ila wa busara, nakupongeza, haina haja ya kuishi na mtu anakuletea kiburi utafikiri yeye ndio mwanamke pekee duniani
 
Nadhani unefanya haraka kutoa talaka rafiki yangu alikaa na mke wake kwnye ndoa miaka mitano na kuwa na watoto 2 ghafla mwanamke akabadirika hakumpa haki yake kwa miaka 7,baadaye akajirudi mwenyewe...kuna huduma ulitakiwa kuanza kusitisha kabla ya kufikia hapo..kumwekea vikwazo ambavyo ataona umuhimu wako wewe.mambo yawanawake hayo yanakuja na kuisha..muhimu ni maombi zaidi
ingekua kupoteza muda, inawezekana asingebadilika kabisa, miaka saba hupewi unyumba? mwanamke selfish kama huyo umvumile tuuuu?

ni vizuri kua na fresh start ukiona bado umekwama baada ya kufanya juhudi zote.
A WRONG DECISION IS BETTER THAN INDECISION
 
Back
Top Bottom