Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Wanawake wanapasua vioo na taa za magari, wanachoma moto nguo, akizidisha sana atachoma gari moto. Hasira inaisha.ivi mbona sijawai sikia mwanamke kamuua mumewe kisa kamfumania ama yeye kuamua kujinyonga kisa mapenzi
ni kwamba hatupendi kama wanaume?
au we are strong ?
au ni wavumilivu sana?