edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 980
Bado hujakuwa kinachoongelewa hapa we unaona ni giza tu usiombe haya mambo yakukute ni hatari sana ndio maana wanasema kama hujakomaa kiakili unaweza kujiua ni kweli tupu hiiMapenzi haya haya ya kibongo bongo ndo yanafanya watu wajiue/wauane, mi bado hapo