SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 46,238
- 66,295
Kibwengo umekasirika? Ha ha ha haaaa!!!!!!Uwe na adabu dogo.acha uropokaji
Kibwengo umekasirika? Ha ha ha haaaa!!!!!!Uwe na adabu dogo.acha uropokaji
Posho zipi ? Wakati taasisi kibao zimefutwa zimebaki chache zenye maslahi , assume unatolea TPA unapelekwa GPSA.
Kuna jamaa yangu katolewa TPA kapelekwa halmashauri ya itilima huko..anatamani kuacha kaziPosho zipi ? Wakati taasisi kibao zimefutwa zimebaki chache zenye maslahi , assume unatolea TPA unapelekwa GPSA.
Kuna jamaa yangu katolewa TPA kapelekwa halmashauri ya itilima huko..anatamani kuacha kazi
Umetumwaaaa si bureeeKiufupi Tangia niajiriwe hiki ndo kipindi nniemeanza kuonja matunda ya elimu yangu.
Nb hizi posho tuzitumie vizuri wakuu
Hivi majina ya John yana shida gani?
Kwani mwanzo ulikuwa unamdai nini??Mama Mimi simdai fahamu hivyo
Uhakika au siyo, kwahy mtaendelea kutumia ile mbinu aliyoisema Nape?
This is idiomatic phraseKwani mwanzo ulikuwa unamdai nini??