Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,703
- 14,918
Mdogo kwelikweli yani? Yupo wapi omari manzi mangochie? Yuko wapi? Unajua mbwembwe zake. Yule mpumbavuSabaya n mtu mdogo sana katika mfumo wa serikali!
Mangochi. Aliwaita watu malofa
Mdogo kwelikweli yani? Yupo wapi omari manzi mangochie? Yuko wapi? Unajua mbwembwe zake. Yule mpumbavuSabaya n mtu mdogo sana katika mfumo wa serikali!
Safi sana. Umejitahidi kufikisha ujumbe vizuri sana. Huu ndio ukweli mtupu juu ya issue ya Sabaya. Naamini hata watu wazima wanajua hiki kitu. Wachagga wanataka tu mchagga mwenzao ndio awe kiongozi katika wilaya za Kilimanjaro isipokuwa Same na Mwanga. Hata Mollel wanajitahidi sana kukuza weakness zake kisa tu amekuwa mbunge wa Siha ambayo kimsingi ni 60% wamasai na wana haki ya kutoa mwakilishi.Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.
Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.
Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.
Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?
Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...
Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.
Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.
Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..
Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.
Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.
Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Wachagga wanatakiwa kujua kabisa kwamba we can now read between the lines. Waaijifanye wao tu ndio wajanja. Na mbegu wanayopanda ni mbaya sana na wao watakuwa sehemu ya maumivu. Wakubali kuongozwa pale inapotokea na wakubali kushindwa pale wanaposhindwa. Wasitumie pesa na elimu kwa udhalimu.Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.
Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.
Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.
Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?
Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...
Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.
Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.
Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..
Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.
Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.
Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Kazi ya kutafuta wakwepa Kodi inafanywa na mkuu wa wilaya au TRA
Mama sijajua kama anawajua vizuri...wanaukabila wa kishamba sana..tena uliopitwa na waktiSafi sana. Umejitahidi kufikisha ujumbe vizuri sana. Huu ndio ukweli mtupu juu ya issue ya Sabaya. Naamini hata watu wazima wanajua hiki kitu. Wachagga wanataka tu mchagga mwenzao ndio awe kiongozi katika wilaya za Kilimanjaro isipokuwa Same na Mwanga. Hata Mollel wanajitahidi sana kukuza weakness zake kisa tu amekuwa mbunge wa Siha ambayo kimsingi ni 60% wamasai na wana haki ya kutoa mwakilishi.
Wachagga wao wanataka wakija wilaya za Meru, Arusha vij, Arusha mj, Monduli, Longido, Karatu, Babati wawe viongozi lkn hawataki watu wawe viongozi katika wilaya zao.
Umelipwa bei gani ?Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.
Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.
Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.
Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?
Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...
Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.
Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.
Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..
Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.
Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.
Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Sukumia ndani Sabaya.Sabaya ni jambazi na muhalifu mkubwa!
Huyu muhuni aliyepiga misumari ya nchi nne mwenye ugoko wa watu....sheria na ichukue mkondo wake!! Mwizi & jambazi mkubwa!!Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli kafa, lakini spirit yake haijafa. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu, katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli kafa lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, na kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli haijafa. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60, kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Mkuu, eti kuna wajinga wanamtishia Rais wa nchi..pambaf sana hawa!!Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi mkuu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.
Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
Samia Suluhu Hassan siyo Rais wa Wanyonge na Hajawahi kujipambanu hivyo katika hotuba zake sijawahi kusikia neno wanyonge/mabeberu.
Tangu Samia aingilie madarakani, wanyonge wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona ya nchi wakiomba msaada kutoka kwa Rais Samia Suluhu lakini sijawahi sikia wanyonge hao wakisaidiwa chochote kutoka kwa rais huyu
Ni kawaida kwa watanzania hususani wa hali ya chini machinga, walipakodi, wachimbaji wafogo wa madini, wajane na makundi mengine mengi wamekuwa wakimuomba rais awasaidie katika mambo mbalimbali yanayowasibu bila majibu
Rais teyari amekwishaanza kushughulika na kero za baadhi ya makundi nchini kama wazee na matajiri, lakini sijasikia popote akiteta kuhusu wanyonge