Tetesi: Manji akabiliwa na kesi ya tatu, hii ni kuhusu tigo

Manji is a very very very smart and shrewd fella.

jamhuri iwe angalifu sana ku-handle hizi zinazoitwa kesi dhidi yake. inauma sana pale hela inayopatikana kwa jasho la damu na machozi la innocent tax payers itakapopotelea baharini kumlipa Manji fidia za mabilioni unnecessarily.

tuombe Mungu labda Manji a-sue for a tshs 1.00 claim kama alivyofanya kwa Mengi.
 
ulipo nichekesha ni hapo uliposema Manji ana miliki Tigo kwa 90% hahahahahah
Hivi unajua hiyo case yake na Tigo ilifunguliwa lini?
Nyie ndio huwa mnafanya Jf ionekanane muda mwingine ni kijiwe cha wazushi na majungu..
Mkuu ungeweka wewe ukweli tungekuelewa kuliko hili povu hapa...hii habar ipo pia kwenye blog ya Salehe Jembe kama sikosei...
 
tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???

kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.

....utaratibu wa kimjijini mjini!!!!
 
Kama unajua zaidi unamkosoa kistaarabu tu, ye kaanzisha uzi wake hapa sie wengine hatujui lolote at least tumepata mwanga, kma ulivyosema kuwa kuna watu wanafanya Jf ionekane kama kijiwe, hata nyie pia ndo mnaofanya kabila lenu lionekane lina mbwembwe mno...
Mkuu hao nshomile ndo walivo...ni wajuaji sana ndo mana watu hawawapendi..
 
Tatizo la Manji ni Dini yake nini? Mbona Simon UDA hajasumbuliwa hivyo tena kachekewa wakati ni bonge la jizi tena alimkodisha na manji pia magodown ya Uda kule Kurasini.... Escrow Wakristo wengi mule haiguswi
 
tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???

kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.
Hiyo ya kuuzwa hisa mbona ni shauri la madai na si la jinai.
 
WAKATI MWENGINE UNAWEZA KUJIKUTA UNAHURUMIA MAJIZI NA MAFIDAI UKATAMANI HATA KUWA WAKILI WAO. KISA NI ILE APPROACH INAYOTUMIKA DHIDI YAO. NAO NI SEHEMU YA RAIA WANAHAKI ZAO ZA MSINGI. (SAMAHANI JAMANI MIMI NI MWANA YANGA NA MKAZI WA MBAGALLA KUU)
 
Tatizo la Manji ni Dini yake nini? Mbona Simon UDA hajasumbuliwa hivyo tena kachekewa wakati ni bonge la jizi tena alimkodisha na manji pia magodown ya Uda kule Kurasini.... Escrow Wakristo wengi mule haiguswi

OFFSIDE.
 
Ewe mtukufu Visasi havitakusadia,we we ni maskini daima usionee wivu watu waliotafuta fedha kwa jasho lako,wewe ni MTU was kulipwa mshahara tangu ujana wako,hujawahi kuajiri kwa jasho lako,umezoea kulipwa,kanjibahi hajawahi kuajiriwa ila anaajiri
 
Manji is a very very very smart and shrewd fella.

jamhuri iwe angalifu sana ku-handle hizi zinazoitwa kesi dhidi yake. inauma sana pale hela inayopatikana kwa jasho la damu na machozi la innocent tax payers itakapopotelea baharini kumlipa Manji fidia za mabilioni unnecessarily.

tuombe Mungu labda Manji a-sue for a tshs 1.00 claim kama alivyofanya kwa Mengi.
Sawa mrs manji tumekupata
 
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye mmiliki mpya wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo.

Manji alinunua kampuni hiyo mwishoni mwa mwaka 2014 na kumalizia malipo mwanzoni mwa mwaka 2015 na kuwa rasmi ya kwake.

Tigo iliuzwa kwenye mnada baada ya wamiliki ambao makao makuu yao ni nchini Sweden kushindwa kumlipa mtumishi wao ambaye alikuwa akiisimamia ambaye ni raia wa Uingereza.

Baada ya Mwingereza huyo kufungua kesi, waajili hao walishindwa kumlipa, hivyo mahakama ikaagiza kufanyika kwa mnada na kampuni nyingine ya nje ikainunua Tigo kabla ya kumuuzia Manji.

Hata hivyo, Manji amekuwa katika misukosuko ikiwa ni pamoja na kufunguliwa kesi ya kutaka mnada urudiwe hali inatakayopelekea yeye kupokonywa kampuni hiyo.

“Hii ni kesi ya pili katika zile zinazojulikana ndani ya wiki moja. Lakini wiki iliyopita, kulikuwa na kesi mbili.

“Moja ni ya madawa ya kulevya ambayo wanamtuhumu kuitumia, lakini nyingine ni kuhusiana na kutaka kurudiwa kwa mnada wa Kampuni ya Tigo ambayo ameinunua kwa zaidi ya asilimia 90,” kilieleza chanzo hicho cha uhakika.

“Kama ulikuwa haujui, Tigo ni kampuni ya Manji ambayo aliinunua baada ya Mwingereza aliyekuwa akiisimamia kuwashitaki waajiri wake wa Sweden wamlipe alichokuwa akiwadai. Waliposhindwa, mahakama ikapitisha mnada na kampuni 20 zikajitokeza kununua.

“Kampuni moja ya nje ilifanikiwa kununua na baadaye Manji akanunua hisa kwa asilimia 99. Alilipa kila kitu na hana deni, hivyo tangu mwaka 2014, amekuwa ndiye mmiliki wa kampuni hiyo kubwa ya mawasiliano ya Tigo.

“Lakini kampuni hiyo ya Sweden iliamua kufungua mashtaka Uingereza, ikashindwa. Ikaja hapa imeshindwa na sasa imeamua kukata rufaa tena.

“Hii nilitaka nikueleze tu kuwa Manji amekuwa na kesi tatu ndani ya siku nane zilizopita. Hasa kama kesho atapanda mahakamani ingawa tuna asilimia kubwa atapandishwa na bado hawajatueleza kosa lipi hasa la uhamiaji.”

Hata hivyo, chanzo kilieleza huenda likawa kosa la kuwa na pasi mbili za kusafiria.

“Lile la wafanyakazi, Manji si mmiliki wa kampuni hiyo, labda kama ni lile la pasi mbili analotuhumiwa pia. Ingawa yeye katueleza ana pasipoti moja ya Tanzania na hiyo wanayosema si paspoti kama walivyosema, sasa tunasubiri tuone.”
The only thing ninachowashangaa binadamu ni kule kufurahia anguko la wengine hasa wenye mafanikio
 
ulipo nichekesha ni hapo uliposema Manji ana miliki Tigo kwa 90% hahahahahah
Hivi unajua hiyo case yake na Tigo ilifunguliwa lini?
Nyie ndio huwa mnafanya Jf ionekanane muda mwingine ni kijiwe cha wazushi na majungu..
Tuletee habari iliyo kamili na ya uhakika.
 
Mkuu acha kuleta utabiri ambao hauwezi kutimia. Mawe hasa yale ya pembeni (ya msingi) hayataguswa. Huyajui? moja wapo ni ESCROW. Tafuta na mengine yapo mengi. Utabiri wako hautatimia, haya hayataguswa kamwe.
Lugumi,meremeta,kagoda haya ni baadhi ya mawe yasiyoguswa na binadam yeyote Tanzania.Mungu ibariki Tanzania na mbariki mungu wa dar a.k.a bwana yule anayetaka apewe cheo cha Ezrael mtoa roho.

Akipewa mtajutaaaaaa.
 
Babu yetu hata chemsha hapo 100%
Manji kisiki hicho na anaijuwa sheria a to z
Mengi anadaiwa shilling mpaka leo hataki kuilipa
 
Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?
Nyie akili zenu nani kawashikia yaani kabisa unaona kesi ni ya Tigo na Manji wewe unaingiza siasa zako za kipumbavu
 
Back
Top Bottom