Tetesi: Manji akabiliwa na kesi ya tatu, hii ni kuhusu tigo

Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?
Ni chaguo la Mungu, CCM walimtoa chato akiwa mbunge tena waziri wa ujenzi kwa Mara yake ya mwisho......waliamua wampe nchi ili aijenge aachane na kujenga wizara na kutetea wananchi wa kijimbo kimoja!!!
 
ulipo nichekesha ni hapo uliposema Manji ana miliki Tigo kwa 90% hahahahahah
Hivi unajua hiyo case yake na Tigo ilifunguliwa lini?
Nyie ndio huwa mnafanya Jf ionekanane muda mwingine ni kijiwe cha wazushi na majungu..
Kama unajua zaidi unamkosoa kistaarabu tu, ye kaanzisha uzi wake hapa sie wengine hatujui lolote at least tumepata mwanga, kma ulivyosema kuwa kuna watu wanafanya Jf ionekane kama kijiwe, hata nyie pia ndo mnaofanya kabila lenu lionekane lina mbwembwe mno...
 
Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
uko sahihi kamanda, sera yetu sasa hv ni kutetea mafisadi, wala rushwa, wauza unga na washenzi wengine wote wanaojulikana!
 
Huyu mhindi tatizo ni dharau, analeta mazoea ya awamu ya nne anasahau hii ni awamu ya ngosha eeh
 
Hii ndiyo tabia ya ccm, ukitofautiana nao tu basi utaandamwa mpaka upotee, hapa inabidi ukawa waingilie kati kumtetea maana hakuna namna
Si ndio kawaida yenu kuwatetea mafisadi?

Kwanza huyo Manji wanetofautiana nini na ccm?
 
tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???

kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.

Si kila hisa za makampuni lazima zisajiliwe kwenye soko la hisa.

Soma kuhusu taratibu za makampuni "company acts" ili ufahamu zinavyokuwa si kuuliza vitu usivyovijuwa kwa kujidai kama unavijuwa, ni kujiaibisha tu.
 
Bwana yule ana wivu na chuki binafsi, yeye yuko tayari kwa mapambano na kila mtu kama mtoto wa chekechea. Huyu mtu ni mshari sijapata kuona, sijui CCM walimtoa wapi?
Hivi huyu Manji anaetetewa hapa ndio yuleyule wa miaka ya 10 iliyopita ama mwingine?
 
HAHAHA mleta uzi katoa details gani zaidi ya uzushi? Mmeanza kuisikia juzi case ya Manji na Tigo? Na mkadanganywa kuwa ni serikali imefungua case....

Lete details za kweli ukicheka na kusema jamaa kazusha bila ww kuleta zako za kweli inakuwa kama mchezo wa redio tu
 
tujiulize kwanza, alitumia utaratibu gani kununua hisa, je hisa hizo zilisajiliwa kwenye soko za hisa na kuuzwa kihalali???

kama walifuata sheria zote za inch waache kumsumbua manji, na kama sheria haikufuatwa basi haki itendeke.
Kununua hisa sio lazima ziwe zimesajiliwa kwenye soko la hisa. Lakini ni vizuri tukajua kama taratibu zilifuatwa!
 
eti amenunua kwa 99%.Wamiliki wa tigo ni Milicom Tanzania limited ambako huko kuna wamiliki wana hisa zao.Hili likampuni lina thamani ya zaidi ya 1.5billion dollar,hela hiyo Manji hana.
 
kwa mjubu wa championi ya leo manji anamiliki hisa asilimia 99.kwanza hongera kwake na pili naomba haki itendeke,
 
Back
Top Bottom