OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,611
- 105,754
Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
Kwamba ibirisi mwenyewe anamuogopa jamaa. 😂 😂😂😂😂
Mkuu si tulikubaliana kuwa Chadema imekufa au? Kwani mifano yoyote ya Fisiemu lazima mkachungulie kwa Chama kilichokufa kuwa wao wanafanyajeHata Chadema wanayo hiyo kitu. Tofauti ya CCM na Chadema ni kuwa CCM return ni kubwa ( unaweza lamba uteuzi) wakati Chadema unaishia kupostiwa kwenye mitandao. Zengwe na fitina za Chadema anazijua vzuri Zitto