Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,604
- 752,015
Na roho zinawauma kweliNaamini kwenye hiyo safari hakuna mkono wa serikali, hivyo haitasema chochote kuhusu safari hiyo!!
Na roho zinawauma kweliNaamini kwenye hiyo safari hakuna mkono wa serikali, hivyo haitasema chochote kuhusu safari hiyo!!
Siasa ndugu inaharibu sana tena alietoa hii Killard ayotv unategemea proffesionalism kweli? Ni vururu vururu tu ilimradi nyalandu kasifiwaMkuu unge balance kidogo story yako, sioni popote ukitaja uhusika wa wale wamisionari wa STEMM katika kufanikisha hili, pia yule congressman alie Pambana Usiku na mchana, kutafuta vibali vya kufanikisha safari hii, kuna watu wengi sana nyuma ya hili ila credit umeamua kumpa nyalandu!
Tunahitaji kutumia akili,nguvu nyingi na rasilimali fedha kuimarisha hospitali zetu,ziwe na wataalam na vifaa vya kisasa ili huduma muhimu zipatikane humu nchini,kuliko kutegemea misaada na kutumia fedha nyingi kufata matibabu nje ya nchi.
Hao majeruhi wamepelekwa MOI wakaonekana hawawezi kuhudumiwa?Nawasiwasi na Agenda nyingine nyuma ya pazia juu ya swala la majeruhi hawa.Nawaombea Mungu wapone,ila naona gharama zinazotumika zingeweza kuimarisha kitengo kimoja wapo kwenye hospitali zetu,na kuwasaidia wahanga wengi zaidi (najiuliza mwenyewe)
hao wengine ajali zao hazijawa maarufuUkiingia Mount Meru kuna majeruhi wengi sana wa ajari mbalimbali. Ukienda KCMC ndo balaa tupu Sijui wanasaidiwaje na wao