hah
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 434
- 872
SaUwaa!! utatuletea feedback(mshindo nyuma),,je? uko utokako yaliyomo yamo.🤣🤣🤣 kitaeleweka humohumo
SaUwaa!! utatuletea feedback(mshindo nyuma),,je? uko utokako yaliyomo yamo.🤣🤣🤣 kitaeleweka humohumo
Ni salama KabisaSaUwaa!! utatuletea feedback(mshindo nyuma),,je? uko utokako yaliyomo yamo.
Kama si mamba mjusi, hatufai abadani,Swali ulilouliza, jibu nitakupatia,
Mamba asiyeng'ata, si mamba huyo mjusi!
Beti nne nazifunga, jawabu nimemaliza,
Kama gwiji nimepanga, msije kuniuliza,
Mjusi nimemnanga, nang'ata sijapuliza,
Mamba asiyeng'ata, si mamba huyo mjusi.
Na. M. M. Mwanakijiji (Tarumbeta ya Kijiji).
Uhamishoni USA
Labda kwasababu ni Mamba wa bahariniNi kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira,
Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara,
Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira,
Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata?
Shairi hili litumike kufundishia mashuleni.Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira,
Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara,
kung'atwa!
😁
NYUMBU WANAJUA MAMBA KAWARUHUSU KULA BILA KUVIMBIWA. HIVYO WANASHINDANA KULA BILA KIKOMO.Nyumbu washamjulia wanapita mtoni wakiwa wamejaza matumbo Yao bila bugudha.