Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,019
- 12,803
Mbona katoka chicha!Bado najiuliza Hg Ikulu? sio wapishi pro...?
Hata kama ni ndugu yao wangempiga sopusopu bana...
Mbona katoka chicha!Bado najiuliza Hg Ikulu? sio wapishi pro...?
Hata kama ni ndugu yao wangempiga sopusopu bana...
Hay akifanya Obana... Rais ana upendo, anajumuika, mtu wa watu, family man... na sifa zote atapata... akifanya Rais wa TZ Ooh msanii... tujenge tabia ya ku-appreciate vyetu jamani...