Malecela avunja ukimya!

Waberoya Waberoya Waberoya is mchunguzaji
JF Senior Expert Member

Re: JK akiri kushindwa, Tutamsaidia - Mbowe

Nadhani hata mtoto mdogo anajua kuwa Kikwete ameshindwa, alishashindwa siku nyingi sana, kusema kuwa akiri, hakusaidii kuondoa matatizo wala kuiondoa CCM madarakani, nadhani ni vizuri kufanya siasa za 'kufunga goli' kuwa mtafanya nini hapo ifikapo 2010, maana ni mwakani tu.

Operation sangara sawa, lakini anzisheni vitu vya kuivuta zaidi jamii, KAENI MBALI NA CCM, MNACHOFANYA SASA NI KUIPROMOTE CCM, mara mnamuunga mkono Mwakyembe, HAINIINGII AKILINI MNAVYOWASIFIA BAADHI YA WANACHAMA NA VIONGOZI WA CCM, HUKU BOSI WAO WOTE HAO NI KIKWETE!!!!!

KAENI MBALI NA CCM, MSITAJE JINA LA KIONGOZI YEYOTE WA CCM, HII HAITAWALETEA MATATIZO KAMA YA SASA YA 'DOWANS' MNAPOONA NCHI INATATIZO FULANI, MTOE BACKUP PLAN, TOENI NA TATUENI MATATIZO KAMA CHADEMA, HATA KAMA LIMETATULIWA VIVYO HIVYO NA WATU WA CCM, I MEAN HATA KAMA 'MMEDESA'

EBU NIWAULIZE, HIVI KWENYE JIMBO LA MWAKYEMBE MTAMSIMAMISHA MGOMBEA WA CHADEMA??

NARUDIA HATA KAMA CCM WAKO SAHIHI, NA NYIE SEMENI HIVYO HIVYO HATA KAMA WATASEMA MMEIGA, HII NI KUEPUSHA KUPROMOTE CCM BILA WENYEWE KUJIJUA!!!!

ANZISHENI KOMBE LA CHADEMA, BENDI YA CHADEMA, YAANI KILA KITU CHA CHADEMA CHADEMA, HOSPITALI, HATA DALA DALA, NDALA, KEY HOLDER etc let people feel you!
__________________
‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970)
 
Wazee ifikie wakati tuwe tunakubali matokeo!
Kwa Urais kama unafikiria mtu mwingine zaidi ya JK in 2010, mtu mhuyo mfikirie katika upinzani, else ni kujiongezea machungu tu!
 
Yatupasa nasi tuseme jamani, chama komavu kidemokrasia hakibahatishi mgombea wa kumnadi ktk urais, na mnapofanikiwa ni kumuwezesha amalize tenure zote za kikatiba vizuri, bill and george all did it. Tujifunze jamani
 
Back
Top Bottom