Makonda: Sintokwenda mbele ya Kamati ya Bunge kuhojiwa bila kuitwa kwa barua

Aende tuu na huyu.
49fbc6f926e1bce87b536ecda1069dfe.jpg
 
Mhe mkuu wa mkoa wa Dar es laam Paul Makonda amedai hatoweza kufika mbele ya kamati ya maadili ya mbunge bila kuitwa kwa barua.Amedai hawezi kwenda tu kwa habari za kusikia kwenye vyombo vya habari bila kufuata utaratibu maalumu wa kumwita.

Source:Nipashe.

My take:Mkuu wa mkoa njia unazotumia Kuwaita watu wahojiwe,zikitumika kukuita wewe pia ukahojiwe tunaomba uzikubali usikatae,maana wahenga husema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".

Mbona hii habari yako imekaa kimbea!! post hapa habari km ilivyoripotiwa "copy and paste" a source.
 
Mhe mkuu wa mkoa wa Dar es laam Paul Makonda amedai hatoweza kufika mbele ya kamati ya maadili ya mbunge bila kuitwa kwa barua.Amedai hawezi kwenda tu kwa habari za kusikia kwenye vyombo vya habari bila kufuata utaratibu maalumu wa kumwita.

Source:Nipashe.

My take:Mkuu wa mkoa njia unazotumia Kuwaita watu wahojiwe,zikitumika kukuita wewe pia ukahojiwe tunaomba uzikubali usikatae,maana wahenga husema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".
Saws kabisa
Amesahau katumia tv waandishi wa habari kuwaita watuhumiwa.
Mbowe alishamsoma dogo kuwa ni sawa na pimbi tu.
Ndo mana hamsikilizi na hatomsikiliza
 
Back
Top Bottom