Makonda: Sintokwenda mbele ya Kamati ya Bunge kuhojiwa bila kuitwa kwa barua

Mhe mkuu wa mkoa wa Dar es laam Paul Makonda amedai hatoweza kufika mbele ya kamati ya maadili ya mbunge bila kuitwa kwa barua.Amedai hawezi kwenda tu kwa habari za kusikia kwenye vyombo vya habari bila kufuata utaratibu maalumu wa kumwita.

Source:Nipashe.

My take:Mkuu wa mkoa njia unazotumia Kuwaita watu wahojiwe,zikitumika kukuita wewe pia ukahojiwe tunaomba uzikubali usikatae,maana wahenga husema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".
Wewe makonda"Ndiyo utaitwa kwa barua!! Miye nadhani uvae chup==i ya plastic kwa sababu najua watakavyokubana!! kwa kuzingatia wewe ni kilaza wa head toka ukiwa MUCCOBS tunakujua kwa kusup kila semister na kuombewa na tawi la kijani kila mwaka!!
 
Mwiba hutolewa kwa Mwiba!
Yaani hapo Raisi akiendelea kumwachia Mkoa wananchi wa DSM hawatamwelewa kabisa,
Yaani utaratibu uliotumia wewe uliona sawa halafu kwako unaona siyo sawa.
Acha niendelee na hang over kwanza
 
Wale 61 waliobaki nao wasiende police kuitikia wito wa Makonda mpaka taratibu zifuatwe.
 
Hasiende tu bunge alina faida kwa nini spika asiombe orodha ya wauza sembe haisome hadharani kama list of shame
 
kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!
Nna wasiwasi na medulaoblagata ya MAKONDA!kama ni yeye kweli ametoa huo utetezi!

mngeweka hata kavideo wajameni,ili tujiridhishe kuwa akili ya huyu ni sawa na ya baba mwenye nyumba yangu!!!
 

Attachments

  • Putin.jpg
    Putin.jpg
    3.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom