Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Wewe una hisa DART? Unadhani kaenda hapokujiropokea tu kama ulivyofanya hapa JF?!?!?!Yeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live