Kiintaneti
Member
- Feb 10, 2016
- 65
- 18
Ila Leo duh
Baby vipi na wew ulitoka nje pale bungeniWewe ni kadume kavipi unajilengesha kwa wanaume? Tabia za Mombasa wengine hawakuzoea kijana
Hapo amewasaidiaje wanyonge?Safi sana mkuu wa mkoa, mimi ukifanya jambo jema la kuwasaidia wanyonge nitaendelea kukuunga mkono pamoja na kwamba upo ccm
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari wakati alipotembelea kituo cha Mabasi yaendayo haraka cha Kamata Kariakoo leo, amesema kuwa kuanzia jumatatu Mei 16, 2016 ndio nauli za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutozwa.
Pia awaasa watumiaji wa barabara hasa watembea kwa miguu, baiskeli na maguta wasitumie barabara hizo ili kuepusha usumbufu kwa madereva wa mabasi ya mwendo wa haraka. Amesema ameamua kuongeza muda wa kuanza kutoza nauli hizo kwa watumiaji wa mabasi hayo kwa ajili ya kuelimisha wananchi namna ya kukata tiketi na jinsi ya kuzitumia wakati wanapoingia kwenye kituo kwa ajili ya kusubiri magari.
Chanzo: Michuzi
Siasa za vyama zinawaondolea uwezo wa kufikiri, yeye anajua Makonda na wasaidizi wake wamejipanga vipi?. Mtanzania ni mjuaji wa kila kitu.Mkuu mbona unaonekana ni mtu mwenye jazba...na chuki kali kwa ndugu Makonda.....mambo hayapo hivyo mkuu....si vyema kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hicho hata kama kuna mambo mnadhindwa kuelewana....tujiunze kuvumiliana....hata kama tunatofautiana itikadi na maoni.....wanadamu hatuwezi kuwa na mawazo na fikra zinazofanana.....
Kuna moja walikuwa limewekwa UDSM kama kumbukumbu. Naamini bado lipoHuwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
Wewe huna akili sio woteHuwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
Mpaka ipite kama mwaka ndo wataacha bwembweMie jana nimepanda..., sasa yule dereva anatangaza jamani msishike mlango wala kusimama kwenye mstari wa njano haya Magari yanatumia umeme....
Milango hiyo inajifunga, huyp kaka yeye akaona anhaa wapi inakuwaje mlango ujifunge wenyewe, kwanino tusishike akashika.... sijui nini kilimpata full kupiga makelele.... wengine kubonyeza zile button kila mara sijui wanapenda kusikia inavyolia.. dereva wana kazi kwakweli...
Ila nimefurahia nimewahi kufika...muda mchache tu nimefika kwenye destination yangu
Leo umezungumza ukweli mtupu, upo msikitini niniHuwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
ni kweli mkuu...basi moja la ghorofa kama yale ya London bado lipo pale UDSM. Lipo karibu na mabwawa yale ya maji machafu...huwa nikiliona nakumbuka jinsi tulivorud nyuma kwenye sector ya usafir wa uma Dar es SalaamHuwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
Hayo mabas ya ghorofa huwa nikiwaambia rafiki zangu huwa wananibishia!Huwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
Dah umenikumbusha mbali sana mzee mwenzangu, nayakumbuka mnoHuwa nasema kila siku, Tanzania tuna kila kitu lakini akili hatuna.
Kwanza napenda ieleweke, kwa sisi wa zamani mabasi makubwa kwa usafiri wa mjini Dar si kitu kipya, kipya ni hizo barabara tu kutenganishwa na kuwa za mabasi tu ili kuondoa msongamano.
Wale wenzangu wa zamani watakumbuka, kabla ya UDA kuleta ma Ikarus ambayo baadhi yalikuwa makubwa kama haya ya sasa na mengine yalikuwa marefu zaidi Ikarus "kumba kumba" yalikuwa ni basi na trailer lake yameunganishwa kitaalam hata ukiwa ndani au nje ya basi unaweza ukaliona ni refu tu lakini usihisi kama ni basi na trailer. Naam, kabla ya hapo tulikuwa na DMT, wazee wenzangu wanajuwa kirefu chake. Mabasi ya DMT yote yalikuwa makubwa na wale wengine watakumbuka mabasi ya ghorofa kama ya London. Nikiwaambia wanangu na wajukuu zangu kuhusu mabasi ya ghorofa kuwepo zamani Dar na kuwa nimeshayapanda huwa wananishangaa.
Wewe huna akili sio wote