Gerasmus
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 400
- 341
Hili halina uhusiano na vita ya mihadarati, yeye aendelee na vita hiyo, na hii haina maana kwamba ni mtakatifu, kama binadamu anayo mapungufu mengi yakiwemo haya ya kielemu na labda na mengine mengi kijamii, kisiasa nk.nk. yasitumike kudhoofisha vita hii muhimu kwa taifa, ila pia vita hii isiwe kichaka cha viongozi wetu kufichama.