Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,036
hata mm naanza kunusa harufu ya kaukweliiinaomba hili swala livaliwe njuga. may be kuna ukweli ndani yake
hata mm naanza kunusa harufu ya kaukweliiinaomba hili swala livaliwe njuga. may be kuna ukweli ndani yake
Ukweli unauma,hili suala likiachwa lipite hivihivi mama Ndalichako inabidi ajitathmini credibility yale.
kweli kabisa if and only if ungekua uzushi tuuu....asingetukana mwandishi!angemuambia tu achana na wachafuaji viongozi!Ukweli unauma,hili suala likiachwa lipite hivihivi mama Ndalichako inabidi ajitathmini credibility yale.
Vita dhidi ya mihadarati,Manji Atatumia gazeti lake kufanya propaganda
Hao wauza unga ndio akina nami hao..?Hili gazeti limejipa kazi ya kusafisaha wauza madawa ya kulevya
Silaha huwa zipo siku zote zinasubiri lianzishwe. Hata wewe watu wanajua yako mengi tu wanakusitiri siku waguse uoneSawa Paulo makonda ana matatizo yake lakini ili gazeti limeanza vita na makonda baada tu ya Manji kulala ndani
Imekuingia hiyo, nyie ndio manduli wakubwa!Jamani wanaccm mbona tunaanzana sisi kwa sisi?