Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

Status
Not open for further replies.
Ushabiki mwingine unatia karaa. Die hard ni wale hata bosi akiwapiga Kofi hawafuti wala kuugulia maumivu kuogopa kumwuudhi. Huwa na closed mind kama chupa iliyojazwa kitu Kisha ikawa sealed hadi itakapofunguliwa au content labda iwe ime expire(kufa). They never have more than one left eye like" ngoromiko"
 
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.

Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Wale wanajeshi na polisi nao walienda kuangalia
Doc ya makonda saa nne za usiku? Acheni kutufanya mazuzu bana.
 
Nilijiuliza sana kwanini Mheshimiwa awasifie SHiLAWADU kumbe kulikuwa kuna mkakati wa kumchafua Gwajima kati ya baba na Mwana!imeback fire na kila mtu anajua kilichotokea kwani mnadhani hatuna marafiki clouds?aibu yao Gwajima Mungu wa Kweli anampigania!
MKAKATI WA KUMCHAFUA GWAJIMA ULIANZA PALE MTU ALIPOWASIFIA SHILAWADU KUWA NI KIPINDI ANACHOKIPENDA!
 
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.

Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Kwanini asiende mda wa kazi? Kaenda kufatilia saa 5 kasoro? Haina mashiko
 
Tunajua hii ni vita
Wauza madawa katika kazi yao
Mungu yupo na Makonda
 
Alieleta uzi huu ni mkali. Huyo mkuu ukamwambie ujana unamsumbua. Aombe busara kwanza.
 
[quote uid=420683 name="Lionel s" post=20235137]Kwenda clouds..had aende na police?
<br />Si mkuu wa mkoa anastaili ulinzi
Acheni ushabiki mfikiri vizuri[/QUOTE]
Tufike hatua tuweke pembeni mahaba ya vyama na penye ukweli tuseme kweli na kwenye uongo tuseme hapana naamini kwa mwendo huo tutaweza kupiga hatua zaidi.
 
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.

Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Sijui kama umesika press release clouds ambayo wako wanairudia karibu kila baada ya lisaa.
 
Mnatafuta kutulisha BAN tu...
1. Documentary inafuatwa saa nne usiku..??
2. Documentary inafuatwa ukiwa na askari??
3. Documentary inafuatwa na silaha NZITO...??
4. Documentary inafuatwa na kundi la watu wakiwa wamevalia kijeshi..??

IFIKE WAKATI TUACHE KUTETEA VILIVYO WAZI... HASA USENGEREMA ULIO MUBASHARA
 
Kwanza mlikanusha kuwa pale sio clouds, baada ya kuona limewaxhachia kwani clouds wenyewe wamekiri kuwa makonda alivamia ofisi muda huo.Leo mnakuja na stori tofauti eti documentary, hivi nani mshauri wenu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom