Makonda Alienda Clouds Kufuatilia Documentary Yake ya Mwaka Mmoja Madarakani

Status
Not open for further replies.
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.
Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Hapa kweli ume-spin.

Yaani documentary yake irushwe shilawadu?
Ina maana kazi yake ya mwaka mzima ni umbea?
 
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.
Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Siku hizi Shilawadu ndio huwa wanatengeneza documentary, pole sana!

Hakuna cha documentary wala matakataka documentary!

Mkasa mzima ni juu ya ile video ya yule dada wa shilawadu!
Ova...
 
Shwain, hivi mnafikiri fa fa fa fa fa zenu mlizonazo vichwani na sisi tuko hivyo,tuna akili kama umeme, documentary SAA tano usiku

Clouds anaendaga mwenyewe kama anaingia chooni kila siku, iweje ile siku aende na askari wote wale tena wana silaha

Vipi muandiko wake kwenye kadi ya clinic

Kizazi hichi si kile cha enzi za mwalimu, hayo matango yenu ya Leo yameoza na yananuka kama hayatoi funza
 
Licha ya watu wengi kuzungumza mengi kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 'kuvamia' ofisi za Clouds Media kwa lengo la kuwatisha vijana wachapakazi wanaopendwa mpaka na viongozi wa juu serikalini, Shilawadu (Qwisa na Soud Brown), inaelezwa kwamba mkuu huyo wa mkoa, hakwenda kwa shari.
Inaelezwa kwamba alikwenda kufuatilia utaratibu wa documentary yake ya mwaka mmoja madarakani, iliyofanyika pale Officers Mess, Oysterbay kwa sababu anataka irushwe kwenye kituo hicho, ili watu wengi zaidi waone matunda ya jitihada zake za kupambana na madawa ya kulevya na namna anavyoungwa mkono na waathirika wenyewe.
Clip inayosambaa, haioneshi popote kwamba mheshimiwa alitumia nguvu kuingia, na zaidi kuna mtu anaonekana mapokezi ambaye ndiye aliyekuwa akiwafungulia mlango wa ndani. Hakuna mtangazaji yeyote aliyepigwa na kulikuwa na mazungumzo ya kawaida tu ambayo hata hiyo, haifahamiki yaliishaje.
News Spinning...
Hiyo Documentary ilikuwa irushwa na SHILAWADU?
 
BASHITE hata alindwe na nani haisaidii. wenyewe wakimtaka atakufa akiwa usingizini na askari wake wamzukuuka. Mi nasema hivi wauza ngada hawajaguswa. Awaguse wenyewe wenye biashara yao akione cha mtema kuni
 
Shilawadu ni kipindi kinachotazamwa na watu wengi, kwa hiyo ukiwa na kitu chako kizuri na unataka kiwafikie wengi, ile ndiyo platform sahihi
 
RUGE MUTAHABA ANASHIKILIWA NA POLISI.

Vyanzo vya uhakika vinaeleza kwamba asubuhi ya leo kulikuwa na kikao cha wafanyakazi wa Clouds. Kikao hicho kiliitishwa na Mkurugenziwao wa Vipindi na Uzalishaji bwana RugeMutahaba ambaye aliwaeleza wafanyakazi wote juu ya kituo chao kuvamiwa siku ya Ijumaa.

Baada ya hilo na mengine yanayohusu tukio hilo, Ruge alitakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oysterbay. Mpaka sasa Ruge anashikiliwa Polisi hao.

Hofu kubwa imetanda kwa wafanyakazi wa Clouds na sasa mabosi waowanaonekana kuwamashakani baada ya kuvuja kwa video ya CCTV inayomuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akivamia ofisi hizo za Clouds.

======
UPDATES:

Ruge sasa inadaiwa amehamishiwa Central Police kwa mahojiano zaidi.
 
Utaabika Bure Wewe Bora Ukae Kimya Tu
Muda Huu Thread Yako Hii Ama Ndiyo Bashite Wewe Umekuja Kunyoosha Mapito Yote

Utajidhalilisha Bure Omba Moderate Waifute Thread Yako Mbovu Ya Kulindana
Kaungane Na Akina Pascal, Le Mutuz,Wakudadavua,Mudawote,Lizabon,Lumumba Fc

hio avasta yako nikajua ni lizaboni kaamua kumma kaka mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom