Siasa sasa hivi ndo ajira kubwa toka serikalini, mtu anaona ni bora atetee njaa kuliko kutumia akili zake za kawaida. Wasomi hawana ajira wanakimbilia siasa, nafasi moja ya jimbo I gombea uwanja watu 700, hii si dalili njema kwa mustakabali wa nchi.Tatizo lake kubwa ni kuendekeza njaa, hana tofauti na hawa wafuatao.
1:Kabudi... Nimeokotwa jalalani
2:Jaffo... Mimi siyo kitu mbele ya mteuzi wangu maana ni fundi seremala tu.
Hivi mtu unajiondolea haki yako ya kuheshimiwa na jamii kisa tumbo?
Wanasiasa wameamua kuweka aibu mfukoni... dogo atapita na maisha yataendelea.Katika hili sakata la kukemea tamaa za madaraka wanalokemewa wanaotaka Ubunge, hasa Makonda na wengine, hawa kina Bashiru na Polepole wamekuwa mbele mno hadi kusema wanayoyasema. Ndo Mwenyekiti wao anayasema.
Sasa ikitokea Mwenyekiti wao kawageuka, na hao 'wenye tamaa ya Madaraka wamepitishwa', naona la maana watakalolifanya ni kujiuzulu; vinginenevyo wataweka wapi sura zao? Tutawaamini vipi wakija kusema mengine kuwa Mwenyekiti kasema?
Moja ya sifa kubwa ya MATAGA ni kutokujua kuandika Kiswahili fasaha. Nawaza pia mawazo yenu yatakua hivyo hivyo.Bila kumuongelea hamupati usingizi..
Kiongozi munaye mupenda sana sana.. bila kusikia yake.. hamutulii.. najua mungekuwa na nafasi.. ya kumpa kura.. mungemmwagia teletele..
Sema ..... ...eeeee
nimeona kwenye list yupoHivi dr.ngungulile hajachukua fomu?