Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

Ndiyo washapewa pressure sasa jinyonge
Mchakato ukiwa fair, Makonda akashinda, kunahaja gani ya kujihudhuru! Au mie sielewi maana ya democrasia! Msiwape presha viongozi wetu kirejareja namna hii!
 
Wanasiasa wengi wa Bongo hawana aibu kabisa na ni waongo balaa. Anaweza akasema hili leo, kesho akakanusha au akatafuta maneno ya ulaghai kuwapumbaza wananchi.
 
Katika hili sakata la kukemea tamaa za madaraka wanalokemewa wanaotaka Ubunge, hasa Makonda na wengine, hawa kina Bashiru na Polepole wamekuwa mbele mno hadi kusema wanayoyasema. Ndo Mwenyekiti wao anayasema.

Sasa ikitokea Mwenyekiti wao kawageuka, na hao 'wenye tamaa ya Madaraka wamepitishwa', naona la maana watakalolifanya ni kujiuzulu; vinginenevyo wataweka wapi sura zao? Tutawaamini vipi wakija kusema mengine kuwa Mwenyekiti kasema?
Unazani Mwenyekiti ni Chizi kuwateua hao watu ,,anawajua they Will do any thing anachotaka Mwenyekiti wao ni vipaza sauti tuu,kwa misimamo yao ya awali,walipaswa kukataa hata hizo teuzi walizo nazo sasa
 
Back
Top Bottom