NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,191
- 775
Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye kuonya kinachowatokea waumini wao. Watapaaza sauti kwa wasio na sauti. Ili wahusika wasikie.
Najiuliza mbona wakijenga shule nawaambiwi wameingilia wizara ya Elimu?
Wakijenga hospitali hawaambiwi wameingilia wizara ya afya?
Kunapokuwa na ugomvi kwa nini wanashirikisha viongozi wa dini kutafuta amani?
Uongozi wa Makonda ni wa kishari, ugomvi, ubabe, fitina na kujiamini kwamba anajua kila kitu.
Tunamwaambia wazi hafai kuwa kiongozi aliyemteua amewakosea watanzania. Awaombe msamaha.
No Reforms No Election.