NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,189
- 773
Gentleman,Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye kuonya kinachowatokea waumini wao. Watapaaza sauti kwa wasio na sauti. Ili wahusika wasikie.
Najiuliza mbona wakijenga shule nawaambiwi wameingilia wizara ya Elimu?
Wakijenga hospitali hawaambiwi wameingilia wizara ya afya?
Kunapokuwa na ugomvi kwa nini wanashirikisha viongozi wa dini kutafuta amani?
Uongozi wa Makonda ni wa kishari, ugomvi, ubabe, fitina na kujiamini kwamba anajua kila kitu.
Tunamwaambia wazi hafai kuwa kiongozi aliyemteua amewakosea watanzania. Awaombe msamaha.
No Reforms No Election.
Amani ni jambo linaloanzia rohoni. Amani inapotoweka hakuna mwanasiasa awezaye kuituliza. Serikali huitegea sana dini ili mambo yaende.Gentleman,
nadhani ni muhim zaidi viongoz wa dini kujiepusha na uropokaji wenye chuki ndani yake hasa hawa wa TEC ya Kitima π
kwahiyo suluhisho ni uropokaji madhabahuni gentleman?πAmani ni jambo linaloanzia rohoni. Amani inapotoweka hakuna mwanasiasa awezaye kuituliza. Serikali huitegea sana dini ili mambo yaende.
Dini ikiamua kukaa kimya basi raia wataishi kama wanyama halafu mwishowe amani itatoweka.
Haki huleta amani.kwahiyo suluhisho ni uropokaji madhabahuni gentleman?π
Wajibu kwa hoja kama wao wanavyoo jenga hoja.kwahiyo suluhisho ni uropokaji madhabahuni gentleman?π
Hata serikali ni waumini wao lazima wawafundishe na kuhubiri.Gentleman,
nadhani ni muhim zaidi viongoz wa dini kujiepusha na uropokaji wenye chuki ndani yake hasa hawa wa TEC ya Kitima π
Chuki ni ipi?Gentleman,
nadhani ni muhim zaidi viongoz wa dini kujiepusha na uropokaji wenye chuki ndani yake hasa hawa wa TEC ya Kitima π
chuki binafsi ya TEC dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi asie mkristo πChuki ni ipi?
Wewe unadhani ile tume inayolalamikiwa ni huru?.
NI WAPI RC WALIWEKA MKONO PAKAWEPO NA AMANI NA HAKI HADI WA LEO ILI NA SISI TUJIFUNZE KUWA RC WALILETA HAKI NA SASA AMANI IPO.Haki huleta amani.
Kama kusimamia haki ni kuropoka basi na iwe hivyo.
Hili chawa sijui huwa linawaashwa na nini? Sijui kwanini halimfuati mungu wake mwendazake.Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye kuonya kinachowatokea waumini wao. Watapaaza sauti kwa wasio na sauti. Ili wahusika wasikie.
Najiuliza mbona wakijenga shule nawaambiwi wameingilia wizara ya Elimu?
Wakijenga hospitali hawaambiwi wameingilia wizara ya afya?
Kunapokuwa na ugomvi kwa nini wanashirikisha viongozi wa dini kutafuta amani?
Uongozi wa Makonda ni wa kishari, ugomvi, ubabe, fitina na kujiamini kwamba anajua kila kitu.
Tunamwaambia wazi hafai kuwa kiongozi aliyemteua amewakosea watanzania. Awaombe msamaha.
No Reforms No Election.
viongoz wa katoliki waliochoka kuhubiri neno la Mungu, wajitokeze kwenye majukwaa ya kisiasa sio kuropoka na kuchochea chuki na halafu wanajificha madhabahuni,Hata serikali ni waumini wao lazima wawafundishe na kuhubiri.
Serikali ni waumini na wanashiriki ibada. Na viongozi wa dini niwajibu wao kuwahudumia kulingana na maandiko matakatifu hawezi kuogopa kurekebisha wanapoona panapotopotoka kwa ajili ya akina Makonda. Makonda ni wakitoa onyo kwa maaskofu kweli.
Atueleze vizuri habari za utekaji na mauwaji kama hataki viongozi wa dini wakemee
Basi serikali isiende maeneo yao ya huduma.
Kawafundishe acha uvivu wa kufikiria.viongoz wa katoliki waliochoka kuhubiri neno la Mungu, wajitokeze kwenye majukwaa ya kisiasa sio kuropoka na kuchochea chuki na halafu wanajificha madhabahuni,
that's nonsense gentleman π
unaelewa maana ya ''uropokaji'' au unaropoka tu~!?kwahiyo suluhisho ni uropokaji madhabahuni gentleman?π
Huyu ni henchman mabadiriko hayawe kumlinda hawezi kupona hata kidogo, ni suspect mkobwa wa mpango maalumuWanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye kuonya kinachowatokea waumini wao. Watapaaza sauti kwa wasio na sauti. Ili wahusika wasikie.
Najiuliza mbona wakijenga shule nawaambiwi wameingilia wizara ya Elimu?
Wakijenga hospitali hawaambiwi wameingilia wizara ya afya?
Kunapokuwa na ugomvi kwa nini wanashirikisha viongozi wa dini kutafuta amani?
Uongozi wa Makonda ni wa kishari, ugomvi, ubabe, fitina na kujiamini kwamba anajua kila kitu.
Tunamwaambia wazi hafai kuwa kiongozi aliyemteua amewakosea watanzania. Awaombe msamaha.
No Reforms No Election.
Muuaji yule, mtu akitaja tu haki, anachanganyikiwa!Wanandugu