Majina ya Wakenya

Ukimwoma jogoo posta ujue ana mwenyewe ana mlisha
Najua

Ukiona vilivyonona ujue kuna anaelisha

Ishu ni kua ni kupiga na kuondoka,siweki kituo

Sabina anatiana yule,sidhani kama aanabana kiivyo hata kama kaolewa....kung'ara kote kule pia ni wingi wa kupigwa dudu pia
 
1: NDINDI NYORO
2: MUSALIA MUDAVADI
3: RAILA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI?

Weka na wewe Majina ya Wakenya unayoyajua uondoe
Mukoko Tonombe,Twisila Kisinda,Yanick Bangala,Vumbin Ngimbi,Kengo wa dondo,Mukama Musenge.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Uzungu upi sasa? Watanzania bana, yaani mtu akijua tu kuongea kiingereza, ndio tayari amekuwa mzungu? Watanzania si ndio mnaongoza kwa kuukumbatia huo 'uzungu'? Sio kwa yale majina yenu ya ajabu ajabu, utasikia eti JoanFaith John Kataria, mara sijui Jane John, Andrew Peter, n.k, na hao ni watanzania weusi tititi, ni zaidi ya aibu.

Sijui kwanini watanzania ambao hawajafika Kenya huwa wanadhani kwamba wakenya wanaongea kiingereza 24/7, kutoka che hadi machweo. Kiswahili ndio lugha ya mawasiliano nchini Kenya kwa asilimia kubwa. Ila wakenya tangia jadi huwa wanajivunia sana mila na tamaduni wao.

Wakenya wanathamini lugha zao za asili kwanza, kabla ya lugha yeyote nyingine. Kiswahili, kiingereza au hata kifaransa zote hizo kwetu ni lugha za kigeni. Tukisema hivyo huwa mnaishia kusema kwamba huo ni ukabila. Majirani mlipangwa ndani ya mfumo wa lugha moja hadi mkapangika kupindukia. Mwacha mila ni mtumwa, walisema wazee wa Ndemi na Mathathi
Mbona Peter Keneth huitwa White man from Kabete? Kabete yenyewe huitwa Kabeteshire

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa Kenya ni pasua kichwa, ukiweza ishi nao inatakiwa upewe PHD
 
Back
Top Bottom