Interaction za cross border matheeKariuki/kairuki,Ngugi, Chege,Nyambura,Mungai hizi majina za wakenya mlitoa wapi watz?
Wachagga wana majina ambayo yanafanana kabisa na ya Kikikuyu. Hadi Mbúrú, ambayo wao huwa wanaitamka na O mbili. 😎 Huyo Múngai ambaye alikuwa waziri nchini Tz, asili yake ilikuwa ni Ukikuyuni.Kariuki/kairuki,Ngugi, Chege,Nyambura,Mungai hizi majina za wakenya mlitoa wapi watz?
Nilishangaa kuona nyambura moremi then it turns out ni mkuriaWachagga wana majina ambayo yanafanana kabisa na ya Kikikuyu. Hadi Mbúrú, ambayo wao huwa wanaitamka na O mbili. Huyo Múngai ambaye alikuwa waziri nchini Tz, asili yake ilikuwa ni Ukikuyuni.
They sound very botanical1: NDINDI NYORO
2: MUSALIA MUDAVADI
3:RAIRA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI?
Weka na wewe Majina ya wakenya unayoyajua uondoe
Rekebisha hii kauli, siyo Wachaga wana majina yanayofanana na majina ya Kikikuyu ila ni Wakikuyu wana majina yanayoshabihiana na majina ya Kichaga.Wachagga wana majina ambayo yanafanana kabisa na ya Kikikuyu. Hadi Mbúrú, ambayo wao huwa wanaitamka na O mbili. Huyo Múngai ambaye alikuwa waziri nchini Tz, asili yake ilikuwa ni Ukikuyuni.
Wa kibosho hao. Mboroo. Jina noma.Mburu, pronounced as" mboroo"
Umemtaja Joan Faith kataraia ukanikumbusha shepu lake na miguu yake ya kihayaUzungu upi sasa? Watanzania bana, yaani mtu akijua tu kuongea kiingereza, ndio tayari amekuwa mzungu? Watanzania si ndio mnaongoza kwa kuukumbatia huo 'uzungu'? Sio kwa yale majina yenu ya ajabu ajabu, utasikia eti JoanFaith John Kataria, mara sijui Jane John, Andrew Peter, n.k, na hao ni watanzania weusi tititi, ni zaidi ya aibu.
Sijui kwanini watanzania ambao hawajafika Kenya huwa wanadhani kwamba wakenya wanaongea kiingereza 24/7, kutoka che hadi machweo. Kiswahili ndio lugha ya mawasiliano nchini Kenya kwa asilimia kubwa. Ila wakenya tangia jadi huwa wanajivunia sana mila na tamaduni wao.
Wakenya wanathamini lugha zao za asili kwanza, kabla ya lugha yeyote nyingine. Kiswahili, kiingereza au hata kifaransa zote hizo kwetu ni lugha za kigeni. Tukisema hivyo huwa mnaishia kusema kwamba huo ni ukabila. Majirani mlipangwa ndani ya mfumo wa lugha moja hadi mkapangika kupindukia. Mwacha mila ni mtumwa, walisema wazee wa Ndemi na Mathathi
Hili jina sijawahi kulisikia.3:RAIRA ODINGA
*Barack Obama1: NDINDI NYORO
2: MUSALIA MUDAVADI
3:RAIRA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI?
Weka na wewe Majina ya wakenya unayoyajua uondoe
Jina ni Raila Odinga.Hili jina sijawahi kulisikia.
Kumbe Kenya kuna Raira pia!
MK254 pingli-nywee1: NDINDI NYORO
2: MUSALIA MUDAVADI
3:RAIRA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI?
Weka na wewe Majina ya wakenya unayoyajua uondoe