Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,678
- 29,595
Yaani Ukarabati wa Makazi unalingana na Ujenzi wa Majengo Matatu Mapya ya zile Hostel pale Mawasiliano.Matengezo tu ambao sio ujenzi mpya ni 1.5 Bln, Ghorofa zile hostel Mpyaaaaaaaaa 10Bln? Haya Tutafanyaje sasa.
Hii nchi bana upigaji ni cancer aisee, kuisha ni ngumu sana