Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,260
Ongezea 680 milioni hapo za kutenganisha ofisi. Halafu jiulize nini kazi ya makamu wa rais Tanganyika? Kiutendaji ni Rais na waziri mkuu. Makamu wa rais ni pambo tu lakini hana toja yoyote hata asipokuwepoMatengezo tu ambao sio ujenzi mpya ni 1.5 Bln, Ghorofa zile hostel Mpyaaaaaaaaa 10Bln? Haya Tutafanyaje sasa.