Maisha Ya Mtaani Kwetu - Uswazi

DSC_0771.JPG
 
Allien ! lol yaani ni full fujo wengine majini wengine wamekoboka wengine wanasasambua but let us think deep hivi does it meanno one is responsible for what is happening? kweli tz inakotoka dhahabu kuna mtu anaish nyumba ya udongo tena yenye nyufa???????????eeh! au mpaka aje mzungu kutufundisha ujenzi wa nyumba bora na za kisasa?

wengine wanaonekana wamekaa kingono tu, kukata miuno hadharani kuonyesha manyonyo lolz wanaume mnatabu kweli. wengine na imani za kishirikina hivi ulimwengu huu bado kuna watu wanaamin haya? sijapendezwa kabisa and i feel sorry kwa hao watoto wanaoisha kwenye mazingira kama hayo ilihali twiga na viboko wanapanda ndege.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom