Aisee umenikumbusha mbali kwelii, tulipokua hatuna TV, masikini tunaishia kuchungulia kwenye dirisha la jirani kuangalia movie za kihindi...saa nyingine tunatolewa mbio, saa nyingine mnamwagiwa maji, basi shida tuu, lakini watoto hatukomi kesho tumerudi.....sad sad sad. Tumetoka mbali. Sasa hivi watu wana TV kila chumba, ahhh maendeleo.
Wajinga ndio waliwao.
The unseen is illustrated by the seen.