Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Acha ujinga wewe, wewe si utafute hela zako upeleke hayo madawati kijijini kwenu? mtu unaweza kukuta hata sofa la love seat huna unakaa kumnanga mwenzako ambaye anatafuta hela kwa jasho lake na wewe hakuna unachomchangia, hivi hujui hii awamu ya kutokungiana mamno yakufanya!!!,..
 
Kwanza sijajua hili kundi lipo au limekufa na kama limekufa ni sababu gani zimeliuwa kundi hili lililojizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania

Kingine ni maisha ya wale comedian wengine wako wapi? Ukiacha Masanja ambae hivi sasa ni mchungaji na maisha yake ni ya hali ya juu.

260f332f07bf68ea051c0b79b09f8a51.jpg

Katupiga sana gap sisi tunaotambia Vyeti vyetu na GPA zetu kubwa kutwa humu mitandaoni na mitaani tukisaidiwa na tu vi degree, vi masters na vi phd vyetu na uchungu unakuja zaidi kwamba Jamaa hana hata Kidato / Elimu kivile ila katusua na anatuburuza kweli.

Shikamoo Masanja!
 
5m ndogo sn, ww ulishapeleka nn kijijini kwako?
Anatafuta kwa ajl ya familia yake na sio kijiji, kijiji kina serikali atiiii, na serikalini ukijependekeza sn yatakukuta ya manji, hii nchi sio ya kujionesha etii una hela
Bora umuulize.watu wanapenda kweli kupangia hela za watu..na hilo gorofa atasema angejenga ya udongo hela asaidie
 
Back
Top Bottom