Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Hakuna utajiri usio na ukafiri nyuma yake, chamsingi watu wafanye kazi kwabidii wachangamkie fursa zinapopatikana, kuna muda inabidi uweke usomi pembeni kwa muda upambane kama mtu wa kawaida.

Tufanye kazi kulingana na mazingira yanavyotaka, kama ni porini ingia kiporipori, kama ni shamba ingia kishamba shamba na mengine mengi.

Shida nyingine ni elimu ya kwenye makaratasi, wasomi wanaogopa risk analysis wakati wasio na elimu hawajali hilo wao wanazama bila hofu yoyote.

Nb; unaweza kuvuka mto wenye mamba bila woga kama hukutarifiwa kabla, ila ukishaambiwa hutoweza kuvuka,
Hata huo ukafiri si kazi mkuu
 
Unajua masanja alianzaga kusifia mapooudaaa toka anatangaza commedy ukiangalia clip zilie ni dhahiri kuwa ngada ndio zimefanya afanikiwe hakuna mkulima mwenye mafanikio ya haraka kama masanja yaani unalima mara moja unapata BMW X6 SERIES kamwe haitatokea
Mimi mwenyewe mkulima na bado napata taabu sana
mkuu wasiwasi wako tu
Endelea kulima
 
Aoneshe tu mafanikio yake watu tutamani tupate nguvu ya kutafuta na sisi.

Mali kapataje mimi hainihusu ninachojua anatia hamasa ya kutafuta mafanikio.
 
Tuulize sisi...sheta ni bilionea now..anachokifanya sijui
Hahahaa bongo miujiza mingi sana,mtu hana anachokifanya lakini ni "BILIONEA" :D:D:D:D:D:D,ukiuliza utaambiwa anafanya matangazo ya makampuni,wakati kuna wenzake wanapiga matangazo daily lakini wanatembelea Passo na kupanga chumba na sebule sinza :cool::cool::cool::cool:.
 
Nani kakwambia mr bean ni mshamba ?
Humjui vizuri yule mzee
Ana masters ya mechanical kama sio electrucal engineerig, na maisha yake ni very private, ana vitu vingi ni tajiri sana ila haoneshi kila kitu back to the topic nimesoma mabishano yenu humu
Ila ukweli utabaki kua masanja ni mshamba tena sana
Marriage life yake ana i expose sana hata vitu vingine private hata hashtag zake za kishamba
Binafsi simuonei wivu na nina ndoto za kufikia mafanikio yake (regardless kuuza ngada au vipi) ila yule jamaa apunguze ushamba
Mbna kina mpoki wanaonesha gari zao ila hatujawaita washamba ? Yani in short ukimuangalia masanja ni mshamba mkubwa sanaaa
Na ngoja aje achapiwe yule mkewe

All in all the guy is so creative
We jamaa uko vizuri...
 
Afuuu nilijuaga we mkongo hujui kiswahili ....lkn leo umeshusha kiswaz halisi au umeandikiwa??
 
Unajua masanja alianzaga kusifia mapooudaaa toka anatangaza commedy ukiangalia clip zilie ni dhahiri kuwa ngada ndio zimefanya afanikiwe hakuna mkulima mwenye mafanikio ya haraka kama masanja yaani unalima mara moja unapata BMW X6 SERIES kamwe haitatokea
Mimi mwenyewe mkulima na bado napata taabu sana
Fanya kazi sana na kwa bidii. Achana na story za vilingeni
 
Fanya kazi kwa bidii uwe tajiri. Achana na story za vijiweni.
...wewe kwa mtazamo wako huo kamwe hautashika hela
...kama bidii ingekuwa inalipa basi wakulima wangekuwa matajiri....utajiri una mambo mengi kuliko ulivyo karirishwa eti bidii

......jifunze kufikiri kwa kina
 
Fanya kazi sana na kwa bidii. Achana na story za vilingeni
...hata makazini/ofcn wanaojituma kwa bidii wanaishia kuwa makapuku
....wewe piga deal hata kama unashinda umelala utakuwa na mihela.
....nyie ndio wale wale mnaoamini eti Bakhera alikuwa anauza genge,Mara Mrema wa Impala alikuwa dobi etc....huo unaweza kuwa ni ukweli ila kamwe sio uhalisia wa utajiri wao
 
Kama kilimo cha mpunga nimelima sana lakini tija ya kilimo sijaiona kilimo kimekuwa gharama kubwa sana halafu bei inakuwa chini sana.
 
Back
Top Bottom