Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Mimi nafikiri mtu kama ana maisha yake na hatunyimi pumzi kwanini tuwe concerned anavyoishi wakati hatumchangii chochote. Unajua wengi wanasahau maisha yao binafsi wanahangaika kutoa kasoro kwenye maisha ya wengine. Hiki kitu sikifagilii. Yaani mtu anakuwa so opinionated of how some one should live their lives. Unakuta mfano mtu anamtukana Gigy Money anasema Gigy money anakaa uchi au Gigy money malaya lakini ata the same time huyo nayo ana machafu yake anafanya ila yupo rahisi kuwahukumu wengine. Tanzania tuna unafiki wa kutoka tuonekane wema machoni kwa wengine huku tunafanya mabaya kwenye giza..Halafu tunakuwa wa kwanza kuwanyoonshea wengine vidole wajirekebishe..ha haa...nimetaka kusema kitu lkn kimeishia kwenye ``lips``...hv mku unajua mtu anaweza kuwa na maisha mazuri lkn bado akawa na akili na roho za kimasikini?,kuna mwingine pia anaweza asiwe na maisha mazuri lkn akawa na roho na akili za kitajiri....sijui ni mm tu naliona hili?