ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 46,758
- 100,781
Urafiki wa kingono ukikaa mda mrefu sana ni aghalabu sana kuzaa uchumba hadi ndoa, binafsi kuwa marafiki zaidi ya mwaka na nusu ni tatizo. Uchumba ni ndani ya miezi sita, mtu akikuvalisha pete ukakaa nayo zaidi ya miezi sita bila bila..lazima uhoji!!