Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,048
Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa.
Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Kwa kweli serikali mbalimbali za mataifa mbalimbali hapa Afrika zinapaswa kupiga marufuku tamaduni hii kama ilivyo fanyika kwenye ukeketaji ili kulinda utu wa mwafrika.
Sheria kali inapaswa kutungwa kudhibiti ushenzi huu wa kuuzana wenyewe kwa wenyewe.
Sio sahihi kabisa ku bargain bei ya kuuziana watu/wanawake katika zama hizi huu ni udhalilishaji kama tu ulivyokuwa ukeketaji.
Ni muhimu sasa wana harakati wa haki za wanawake kupaza sauti zaidi dhidi ya ushenzi huu wa utumwa unao endelezwa dhidi yao.
Mahari haimuheshimishi mwanamke bali inamuuza na kumgeuza bidhaa/ mtumwa mwanamke na kutweza utu wake jambo ambalo lina historia chafu kwa sisi waafrika haipaswi kuendeleza hii biashara ya utumwa.