Hii awamu itazidi awamu ya kwanza, maana angalau hata unga wa njano ulikuwepo safari hii mtausikia tu. Awamu hii ya kutumbua tu haina shamba la mahindi hayo ya njano huna pesa inakuwa ulizoea za ujanja ujanja, mnyooke si mmepinda. Wakulima walizoea kupewa kugawiwa unga wa uji safari hii mnanyooka vitandani mwenu.Hajawahi kula ugali utokanao na unga wa yanga(chakula cha farasi)
Hajawahi kunywa chai sukari ni pipi gololi.
Hajawahi kufua nguo kwa kutumia magome ya miti...
Tusikufuru tujifunze kushukuru.
Wajaribu kuuliza waliokuwepo awamu ya kwanza hali ilivyokuwa