Mahaba ya CHADEMA yamelenga biashara sio siasa

Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.

Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.

Usiongee usivyovijuwa.
Wewe unajua kitu gani wewe?kawadanganye wasiyo jitambua kama wewe
 
Soma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:

"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".

My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
Nyumbu ni wewe
 
Baadhi ya nyie watoto wa 90s huwa mnaandika utumbo sana. We unga wa yanga unaujua, ushaona mtu kavaa kaniki na unajua kuwa ufundi viraka ilikuwa kazi maarufu sana??
Tunaishi maisha ya shetani
 
Akili za hovyo hizi, badala ya kujadili mambo muhimbu kushauri wakurupukaji wenu kutenda mambo kwa weledi kutimiza ahadi zenu kwa wananchi wewe umekalia majungu kuzungumza watu. Hopeless kabisa kwa wanaojiita vijana wa Chama tawala.
 
Mimi na wewe nani Nyumbu halisi? Nyumbu wanaishi huko Afrika kwenye Joto huku hakuna Nyumbu. Shida inaweza kuwa na tafsiri yenye mtizamo tofauti kwa mtu tofauti na mazingira tofauti. Maisha ya ujanja siyajui, sijawahi kuyaishi na wala sitayaishi. Dini yangu haukunifundisha maisha hayo na pia haikunifundisha unafiki. Nani anaongoza Taifa lenu la Tanganyika mimi hainiathiri chochote. Hilo ukae tena ulijue vizuri ajuza weye.


Si ulipelekwa zoo, ni heri ya nyumbu anaeishi Afrika kuliko anaetamba kuishi zoo.
 
Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.

Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.

Usiongee usivyovijuwa.
Hajawahi kula ugali utokanao na unga wa yanga(chakula cha farasi)
Hajawahi kunywa chai sukari ni pipi gololi.
Hajawahi kufua nguo kwa kutumia magome ya miti...
Tusikufuru tujifunze kushukuru.
Wajaribu kuuliza waliokuwepo awamu ya kwanza hali ilivyokuwa
 
Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.

Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.

Usiongee usivyovijuwa.
Usinikumbushe maisha ya Tanzania serikali ya awamu ya kwanza mara baada ya vita vya kagera tulipoambiwa tufunge mikanda sisi wengine tuliyayaona ya huko ukituambia eti leo kuna dhiki kuliko awamu zote tunabaki kushangaa.
 
Kwahiyo unataka tukaishi huko au? Nenda kaishi peke yako maisha hayo, tushapita. Unafanana na mzazi anayelinganisha maisha aliyoishi yeye miaka ya 40 kwenda kusoma chini ya muembe na miaka hii?
Sio kutaka watu waishi kama enzi za zamani lakini hii ni reply ya hoja kuwa awamu hii yaani ya tano ya utawala kuna dhiki kuliko awamu zote zilizipita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom