Magufuli: Nimeigawa MV Dsm kwa JWTZ, wale wanaoiandika andika, wajue wanaandika "mzinga wa JWTZ"

Ingekua busara angetumia hiyo nafasi kujibu tuhuma za ufisadi kuhusu hicho kivuko, sio kuja na kauli za vitisho......

Tujitahidi kutenganisha Jeshi na kashfa za kisiasa, Jeshi lisiwe dampo la wanasiasa kufichia maovu yao.....Naona ya Meremeta yanajirudia.
Huyo jamaa siyo mtu wa hivyo kama unafikiri alikula hela kwenye manunuzi ya hiyo meli unapoteza muda tu na utasea sana lkn hakuna wa kukusikiliza
 
Haaaah sometimes inabidi kucheka tu ......

Kuna muda Rais namwelewa sana lakini kuna muda nashindwa kumwelewa kabisa kwa kauli zake............

Hivi JWTZ ndio watumie vitu vibovu na wananchi wasiseme kisa kuogopa?...................

Siku kikiwamwaga kwenye maji na wakafa itakuwa ni faida ya nani?...........
Ndio maana wengine hatusifiagi.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Sasa maharamia wakija na chombo kinachokimbia zaidi, hii meli inasemekana haina kasi, itaweza kuwajimbiza kweli?
 
Haaaah sometimes inabidi kucheka tu ......

Kuna muda Rais namwelewa sana lakini kuna muda nashindwa kumwelewa kabisa kwa kauli zake............

Hivi JWTZ ndio watumie vitu vibovu na wananchi wasiseme kisa kuogopa?...................

Siku kikiwamwaga kwenye maji na wakafa itakuwa ni faida ya nani?...........
Mkuu raisi utamwelewa vizuri ukimsikiliza mwenyewe lakin ukitegemea kumwelewa kwa kusoma post pekee zinazoletwa hapa ni tabu kwani nyingi inabidi uwe na uhakiki wa pua yako je inanusa vizuri harufu ya hizi post ziletazwo humu.
 
Back
Top Bottom