Magufuli na Serikali yako hamaki yenu inampandisha chati Lissu

Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..

Alipofika alijua ataguswa, akaona wamempotezea.

Akawaambia wenzie wabadilishe wimbo wa taifa akadhani ataguswa akaona kimya.

Akaenda uwanja wa taifa na msafara kinyume cha utaratibu akadhani ataguswa watu wakamuambia ageuze kwa amani.

Sasa amebaki anapayuka tu mara nataka mjadala na magufuli, mara rais wa hovyo hovyo, mara magufuli anasema akipita atajiongezea muda.

Yaani anajichanganyachanganya..tutaona mengi. Ila ajue akijaa watu wanatumbua..mwache aendelee kugalagala.
Lisu amehamaki kivipi mkuu?

Magufuli kapiga marufuku habari za Lisu kwenye vyombo vya habari lakini ndio kwanza wananchi wanazidi kumuelewa Lisu yaani ni sawa na kizima Moto wa petrol kwa maji.

Magufuli kasimama juu ya sheria kuakikisha kila kitu anakipiga kabali kuakikisha upinzani haupumia lakini cheki sasa upepo umemgeuka yeye ndio ananyimwa pumzi na upinzani.


#NI YEYE
 
Wamekosa weledi na ni aibu kwa shirika kubwa kama hilo kutozwa faini..huwezi kuruhusu hewani habari ya kutuhumu bila kupata mrejesho kwa mtuhumiwa..

Hiyo katika uandishi inaitwa story balancing. Hapo wamesaidiwa kuongezewa skills za uandishi.
Na wewe uwe na akili, sio kila unaloambiwa unaamini. Magufuli na wafuasi wake hawawezi kuipiga faini BBC, anachoweza ni kuvifokea na kuvitisha akina Radio free pekee.
 
Lisu amehamaki kivip mkuu?

Magu kapiga marufuku habari za lisu kwenye vyombo vya habari lakini ndio kwanza wananchi wanazidi kumuelewa lisu yaani ni sawa na kizima Moto wa petrol kwa maji.

Magu kasimama juu ya sheria kuakikisha kila kitu anakipiga kabali kuakikisha upinzan haupumia lakini cheki sasa upepo umemgeuka yeye ndio ananyimwa pumzi na upinzani.


#NI YEYE
Hapana.. sio kweli.. vyombo vya habari vinamuandika ila sio kwa namna mnayotaka nyie chadema kwamba aaandikwe kila siku yeye tu. Kwa lipi sasa au hilo la kusema corona ipo, amesema akipita atajiongezea muda?

Kuhusu televisheni au redio inakuwa ngumu sana kumpa airtime kwa sababu hajui kuongea ila anaropoka. Mwisho wa siku kinabaki chombo cha habari yake.

Kuhusu vituo vya
 
Hakuna aliyehamaki..yeye lissu ndio amehamaki sababu kila anachofanya anaona serikali haina habari nae..

Alipofika alijua ataguswa, akaona wamempotezea.

Akawaambia wenzie wabadilishe wimbo wa taifa akadhani ataguswa akaona kimya.

Akaenda uwanja wa taifa na msafara kinyume cha utaratibu akadhani ataguswa watu wakamuambia ageuze kwa amani.

Sasa amebaki anapayuka tu mara nataka mjadala na magufuli, mara rais wa hovyo hovyo, mara magufuli anasema akipita atajiongezea muda.

Yaani anajichanganyachanganya..tutaona mengi. Ila ajue akijaa watu wanatumbua..mwache aendelee kugalagala.
Kama hamjahamaki kwanini mnaviminya vyombo vya habari na kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari .. Ile fine mliyowapiga BBC ya kazi gani kama kweli hammuogopi Lissu !?

Au mkuu umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe!?
 
Kama hamjahamaki kwanini mnaviminya vyombo vya habari na kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari .. Ile fine mliyowapiga BBC ya kazi gani kama kweli hammuogopi lissu !?

Au mkuu umeamua kujitekenya na kucheka mwenyewe!?
Kama vipi vyombo vya habari..au ulitaka aandikwe Tundu Lisu kila siku? Kwa lipi sasa alilofanya kwa nchi hii.. akitaka aandikwe kila siku yeye aende Kenya.
 
Serikali haijazuia habari za lissu ila vyombo vya habari imeona anaongea pumba zaidi..kama ak8jirekrbusha wakati wa kampeni watampa airtime.
Kumbe ili upate airtime BBC, Star TV. ITV, clouds tv ni kwa hisani ya serikali? Duh nimejuwa Leo hi kitu.
 
Nina imani CCM bado ina watu wachache wakini, wajaribu kushauri hili jambo....wasije wakakimbilia option nyepesi kwao ya kumkata jina hiyo inaweza kuwa ni mbaya zaidi.
 
Kitendo cha kuhamaki, kutishika na kumuogopa Lisu kiasi cha kuamuru vyombo vya habari visirushe habari zake kinazidi kumpa mileage ya umaarufu na ushawishi.

Kitendo hiki:-
1. Kinajenga hamu kwa wananchi kutaka kumsikiliza Lisu.
2. Kinajenga hasira kwa wananchi wengi hata waliomo ccm.
3. Kinawafanya watu waanze kumuonea huruma Lisu na kumchukia Magufuli. Na sasa Magufuli anajianika kwa watanzania kuwa ni mtu mpenda shari, visasi na sifa.

Lisu anazidi kukita mizizi mioyoni mwa watanzania na kuendelea kupendwa zaidi.

My take:
JPM na serikali yake wanajighamba kuwa wmefanya makubwa yanayoonekana. Hofu hii kwa Lisu inatoka wapi?
Ahahaha kweli aisee kama wamefanya mengi yenye tija hofu ya nini
 
Ngoja nimsaidie kujibu: BBC wamepigwa fain kwa kurusha matangazo ya mahojiano yao na Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CHADEMA Ndugu Tundu Antipas Lisu.

Kwa ujibuji huu ndo maana o-level nilipata one
Hongera mkuu kwa kupàta one
 
Mwaka huu vitu vyenye ncha kali lazima viwaingie CCM ...
Wameingiziwa na mkuu wao lakini sasa ni zamu ya malofa kufanya yao ...

Mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom