Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

"magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa" mkuu taratibu na vigezo vya kukopa unavijua na ulishawahi kukopa? usijibu kimhemko tafadhali, ukijibu tutaendelea kujadili.
Mkuu sielewi swali lako ni lipi, ni kuwabeba wazawa au lile aliloahidi kuwasaidia wazawa kukopa benki?
 
Kaka huu ni unafiki uliopitiliza kiwango. Wakati wote akiwa waziri wa ujenzi kandarasi zimekuwa chini ya wachina kwa miradi ya kilometa nyingi. Kampuni chache mno za wazawa zimepewa kandarasi kubwa sasa wewe unavyokuja na kadaraja kale ka Mbutu Igunga kama symbol ya uzalendo unakuwa umechemka sana bro. Serikali haijawahi kuwa na mfuko maalum kuendeleza wakandarasi wazawa na haijawahi kuwaunganisha wapate kandarasi kubwa zote wanapewa wachina. Labda mwindi mzawa wa Nyanza Road ndio ametutoa kimasomaso lakini naye amepewa kandarasi ya Bunda hadi Kisorya anatumia malori mabovu kashindwa kununua mapya. Na hao aliosema wakope benki jana akina Gaki na Salum Mbuzi wamefika hapo walipo kwa kupambana wao wenyewe na usanii wa siasa. Pia kusema ni tofauti na kutenda
 
Unachosema ni kweli, lakini fuatilia historia ys makandarasi, ni yupi mzawa aliye pewa kipaumbele na serikali toka uhuru.
Only one minister, Magufuli.

Lakini watu wanafikiri kimakosa, wanafikiri ukipewa kipaumbele basi ndo unabweteka.

Hao wahindi vile vile ni wazawa. Tatizo la wazawa walio wengi ni kupenda siasa kuliko kufanya kazi au biashara kujipatia kipato.
Challenge ya viwanda iko hapa sasa.

Pamoja na uhamasishaji, wazawa should rise up to the challenge.
 
..kweli ni raisi wa wazawa.

..kawapa wazawa MAGWANGALA huku wageni wakiondoka dhahabu.
 
Kiukweli zile barabara zote zinazojengwa na fedha za mfuko wa barabara ambazo mostly tunakatwa kwenye mafuta sisi wazawa zilitakiwa ziishie mikononi mwa makampuni ya wazawa. Serikali ilitakiwa iwe na mfuko maalum au hata kuyaunganisha makampuni kadhaa kushiriki tenda kubwa kwa upendeleo maalum. Lakini kwa miaka zaidi ya 15 ya uongozi wa Magufuli wizara ya ujenzi hakuna hata initiative moja ya kuinua wazawa. Matokeo yake fedha ya wazawa imeenda China. Hata Trump amesema atajenga upya miundombinu ili kuinua ajira kwa wamarekani
 
Mkuu uko sawa lakini believe me, hakuna waziri sliye wabeba wazawa kama Magufuli.

Tatizo la wachina kalikuta na ujue alikuwa waziri tu.
 
Mada kama hii inashangaza sana. Kama si harakati za kujikomba sijui mtu unamuelezeaje Magufuli kama rais wa wazawa kwa alichofanya Kagera kati ya mengineyo. Kauli zake zisizo na mantiki: "serikali haijaleta tetemeko; haina shamba, n.k." unazielezeaje? How does one rationalize such absurdity?

Naamini ipo siku hata wanafiki wanaopigia upatu msimamo wa rais kuhusu misaada ya wahanga Kagera na kwingineko watakuja hapa na kujidai "kufafanua" kuwa "walinukuliwa visivyo"; "hawakueleweka vizuri" na kwamba "yaliyopita si ndwele tugange yajayo; tuweke uzalendo mbele"!

Kwa kifupi, pamoja na kuchepusha misaada ya wahanga, msimamo na kauli za rais kuhusu Kagera na majanga mengine ni AIBU. Hata kusema "aibu" ni anasa mahali ambapo watu wamedhurika na kuumia sana kwa matukio ambayo ni "force majeure". Mtu aina hiyo anakuwaje rais wa wazawa?
 
Upeo wako kuifahamu sekta ya ujenxi bado ni mdogobsana.
Magufuli amefanya mengi kuwabeba wazawa.
Kukuelezea katika mada hii haitoshi.
 
HUYO BASHA WAKO ANAKAZI, NAONA HAKUGONGI VIZURI. ANAPIGA KAVU KAVU.
NJOO KWANGU NINA MAFUTA MAZURI, KABLA YA KUDUMBUKIZA DUDU, NAKUPAKA VIZURI. NITAKUUNGANISHA NA DEMU KWAHIYO MTAKUWA WAWILI.
HUMU NI JF UTAJUTA KWANN UMENIQUOTE LEO
Hahah daah aisee,hajibu tena huyo,hahah
 
Mna mawazo ya kishamba sana!![/QUOTE]

Kama hairuhusiwi kuingiza hata sindano,jiulize kwanini ALIBABA ya China inafanya biashara kubwa sana na Marekani kuliko hata (EBAY+AMAZON) combined.
 
Mtoa post hajui kama bank zina mashart ya ukopaji ? Je huyo rais kaondoa au kupunguza mashart au kawawezesha wananchi kukidhi mashart?
Benki zenyewe zinalia zinafirisika hizo hela za kujiimarisha na kuwakopesha watu wamezipata wapi? Pia raia wengine wengi walikopa kipindi kilichopita kwa sasa mzunguko wa fedha umekuwa mgumu wakashindwa kurejesha mikopo yao vitu vyao vimepigwa mnada na Benki. Haya tuliahidiwa milioni 50 kila kijiji mpaka sasa kuna watu wameishia kupiga picha na kurejesha fomu lakini hela hawakuzikamata, sasa jamani kwahaya mambo yanayosemwa yapo kweli au nikupeana faraja za hisia katika hiki kipindi kigumu?
 
Hivi anahamasisha wazawa kukopa au anatafutia ma bank biashara. Hivi kama anawapenda wazawa angewahamasisha wakope au angehamasisha mabank wapunguze riba
Riba ina Regulators wake kwa kuzingatia rate za nje na ndani ya nchi.
Masharti ndiyo yanayoweza kurekebishwa huku zingatio la kisheria za mikopo kumlinda mkopeshaji na mkopaji likizingatiwa.
 
Kumsifia mwanamume mwanzeko ili mradi hana cha kusifiwa ni ujinga mjomba.

Kweli benki inayokamulia kwa vat na kodi kubwa bila kujali umhimu wake kihuduma leo iwe kimbilio la walalahoi?
Hizo si sifa ni ujinga mjomba.

Hivi Unajua ni walala hoi wangapi ambao mpaka sasa wamekuwa mafukara kwa kufirisiwa na mabenki? Sababu ikiwa ndio huyo mhamasisha wazawa?

Niishie hapo nisije tukana bure. Ila Mara nyigine unapoleta post kumbuka kuwa na kichwa chako wakati wote kuliko kuandika sifa za unafiki na uzandiki mjomba.
 
Well said comrade
 
The thread is so provocative. Watu tuna hasira sana. Madaraja yetu yamezuiwa, nyongeza ya mishahara imezuiwa, kama haitoshi bodi ya mikopo imeongeza makato kwenye mshahara uleule mdogo, benki nazo zimeongeza riba, halafu anatokea mwehu mmoja anasifu eti fulani ni wa wazawa. Msituwekee mazingira ya kukamatwa na tcra kwa kutukana mitandaoni, we have seen enough already.
 
Mkuu look at the other side of the shilling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…