Magufuli kachukue Wanyarwanda uwaajiri watusaidie sehemu ambako kuna watendaji wabovu

Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.

Ni kawaida kwa mkuu wa nchi ukiona mambo hayaendi kwenye sehemu unazotaka ziende kasi kutafuta wataalamu wenye uwezo,ari,na nguvu kwenye maeneo husika kuwaajiri kukusaidia toka nchi zingine.

Tanzania haihitaji kwenda kuwafuata Ulaya au Marekani wanakoweza taka mishahara mikubwa.Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao.

Hili si la ajabu.Mfano sekta ya elimu Kenya ilikuwa mbaya mno na ilikuwa hovyo sana miaka ya sabini.Uganda walikuwa wako vizuri sana kwa nchi zote Afrika mashariki.Idd amin aliposhika Uganda walimu wengi walikimbia uganda wakatorokea Kenya.Kenya ikaamua kuwatumia kwa kuwapa kazi na vyeo kama walimu wa shule za serikali za kawaida,walimu wakuu hadi maafisa elimu wa wilaya na mikoa na wizarani.Sekta yote ya Elimu walikabidhi kwa waganda.Waganda wakaitengeneza na kuisuka sasa hivi kenya inaongoza Afrika mashariki nzima kwa uzuri.Uganda baada ya Amin kuiporomosha na viongozi waliofuata kutoitilia maanani imebaki kusuasua

RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.

Pia aangalie maeneo mengine kama Mipango miji nk na kule ambako anaona Rwanda imefanya vizuri waje watusaidie.

Sioni sababu kwa nini Raisi aendelee kuumiza kichwa kwa ajili ya watendaji ambao hawaendi na kasi yake.Aangalie nje awalete haraka twendelee na safari.

Rwanda ni rahisi kupata wataalamu wazuri kwa mshahara mdogo wa kawaida tofauti na kuwachukua wataalamu hao toka nchi zingine kama Kenya,Uganda au nchi zingine za nje au DIASPORA watanzania walioko nje.Wanadai bei kali utafikiri sio watanzania.
Haiwezekani kwenye nchi ya watu milioni 50 na ushee hivi tuwe na mawazo ya kuhazima hazima. Huu ni muda wa kutumia rasilimali zetu tulizonazo kwa umakini. Na kama wanapwaya jibu ni rahisi chomoa weka ambao wanaweza kuendana na kazi husika. Lakini sio kuwaza kuwaajiri wanyarwanda wakati kuna watanzania wengi hawana ajira na wanahali,elimu na nguvu ya kulitumikia taifa hili. Ni hayo tu.
 
Hao wenyewe wanahitaji nguvu kazi kutoka Kenya kuna nafasi hapewi Mwenyeji bora apewe mgeni kwa hofu ya visasi.
 
Nimefanya kazi na wanyarwanda kwa mda mrefu sana 2007 nikiwa mtz pekee ni wa kawaida sana sema walicho nacho ni hawapendi kuonesha au kusema udhaifu wao kama sisi na sisi ni mbaya kwamba hatujui kupongeza bidii zetu nilikuwa mfanyakazi bora kwa mda wote na wao walijua hilo kwa hiyo hakuna sababu ya kusema uazime wanyarwanda au waganda kwa sababu MD au wafanyakazi wachache wamekuwa sio waaminifu tena maranyingi ni kwa mashinikizo ya wanasiasa.
 
Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.

Ni kawaida kwa mkuu wa nchi ukiona mambo hayaendi kwenye sehemu unazotaka ziende kasi kutafuta wataalamu wenye uwezo,ari,na nguvu kwenye maeneo husika kuwaajiri kukusaidia toka nchi zingine.

Tanzania haihitaji kwenda kuwafuata Ulaya au Marekani wanakoweza taka mishahara mikubwa.Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao.

Hili si la ajabu.Mfano sekta ya elimu Kenya ilikuwa mbaya mno na ilikuwa hovyo sana miaka ya sabini.Uganda walikuwa wako vizuri sana kwa nchi zote Afrika mashariki.Idd amin aliposhika Uganda walimu wengi walikimbia uganda wakatorokea Kenya.Kenya ikaamua kuwatumia kwa kuwapa kazi na vyeo kama walimu wa shule za serikali za kawaida,walimu wakuu hadi maafisa elimu wa wilaya na mikoa na wizarani.Sekta yote ya Elimu walikabidhi kwa waganda.Waganda wakaitengeneza na kuisuka sasa hivi kenya inaongoza Afrika mashariki nzima kwa uzuri.Uganda baada ya Amin kuiporomosha na viongozi waliofuata kutoitilia maanani imebaki kusuasua

RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.

Pia aangalie maeneo mengine kama Mipango miji nk na kule ambako anaona Rwanda imefanya vizuri waje watusaidie.

Sioni sababu kwa nini Raisi aendelee kuumiza kichwa kwa ajili ya watendaji ambao hawaendi na kasi yake.Aangalie nje awalete haraka twendelee na safari.

Rwanda ni rahisi kupata wataalamu wazuri kwa mshahara mdogo wa kawaida tofauti na kuwachukua wataalamu hao toka nchi zingine kama Kenya,Uganda au nchi zingine za nje au DIASPORA watanzania walioko nje.Wanadai bei kali utafikiri sio watanzania.
Think tanker wa ccm amkweli ww lazima utakuwa nanihii ww
 
Hasa mipango miji mimi huwa inaniuma sana kila nilinganishapo na nchi zilizoendelea. Unakuta halmashauri/jiji/manispaa inagawa viwanja halafu haipeleki miundo mbinu, haitoi muongozo wa majengo, na mwisho kila mtu anajijengea ovyo ovyo na kila kitu kinaishia kuwa ovyo ovyo, wakati huo huo sheria na kila mpango na taratibu zipo ila wakurugenzi hawazifutai kabisa.
Umekubali kuwa serikali ya magamba ni tatizo?
 
Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.
..Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao......
RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.
...
Wewe pia hufai kushika moja ya hizo nafasi unazowaombea wanyarwanda?

Mtikila alitoa waraka wa "Himaya ya kitusi" uliwahi kuusoma?

Ushauri mzuri, mwambie na watanzania wanazingu hawafai kuongoza.
Akachukue wanyarwanda aje awaongoze.

Link Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania

Magu yuko karibu sana na Kagame kulikoni? Au ndio yanatimizwa?
 
Sijarogwa kama wewe ULIVYOROGWA

it01.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466858599.898333.jpg

afya ni muhimu ila kwa style hii ninashaka kama mahospital yataboreshwa
 
Halmashauri ya HAI ambayo iko chin ya CHADEMA na Mbowe ilipata hati chafu ya ukaguzi wa mahesabu ya CAG
Hapa wadanganye wasiojua mfumo upoje,
Hati chafu ya halmashauri haihusiani na mbunge bali Mkurugenzi anayeidhinisha fedha pamoja na wakuu/watendaji wake wa idara.
 
Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.

Ni kawaida kwa mkuu wa nchi ukiona mambo hayaendi kwenye sehemu unazotaka ziende kasi kutafuta wataalamu wenye uwezo,ari,na nguvu kwenye maeneo husika kuwaajiri kukusaidia toka nchi zingine.

Tanzania haihitaji kwenda kuwafuata Ulaya au Marekani wanakoweza taka mishahara mikubwa.Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao.

Hili si la ajabu.Mfano sekta ya elimu Kenya ilikuwa mbaya mno na ilikuwa hovyo sana miaka ya sabini.Uganda walikuwa wako vizuri sana kwa nchi zote Afrika mashariki.Idd amin aliposhika Uganda walimu wengi walikimbia uganda wakatorokea Kenya.Kenya ikaamua kuwatumia kwa kuwapa kazi na vyeo kama walimu wa shule za serikali za kawaida,walimu wakuu hadi maafisa elimu wa wilaya na mikoa na wizarani.Sekta yote ya Elimu walikabidhi kwa waganda.Waganda wakaitengeneza na kuisuka sasa hivi kenya inaongoza Afrika mashariki nzima kwa uzuri.Uganda baada ya Amin kuiporomosha na viongozi waliofuata kutoitilia maanani imebaki kusuasua

RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.

Pia aangalie maeneo mengine kama Mipango miji nk na kule ambako anaona Rwanda imefanya vizuri waje watusaidie.

Sioni sababu kwa nini Raisi aendelee kuumiza kichwa kwa ajili ya watendaji ambao hawaendi na kasi yake.Aangalie nje awalete haraka twendelee na safari.

Rwanda ni rahisi kupata wataalamu wazuri kwa mshahara mdogo wa kawaida tofauti na kuwachukua wataalamu hao toka nchi zingine kama Kenya,Uganda au nchi zingine za nje au DIASPORA watanzania walioko nje.Wanadai bei kali utafikiri sio watanzania.
Hizi pumba ni bora hata ungewapa kuku wa jirani zako wangekuona wa maana.
 
Mkuu upo sahihi kabisa kuwa Mheshimiwa Rais awachukue na awatumie WANYARWANDA kwani kiukweli wamejaaliwa vipaji ambavyo kwa Watanzania unaweza ukatumia hata miaka 30 kuvitapata ila uwezekano wa kuvikosa ni mkubwa sana yaani 100%. Halafu hata Mimi pia ningependelea asiishie tu kuwatumia WANYARWANDA katika hizo sekta zako ulizozitaja bali nadhani angewatumia sana na kikamilifu hasa katika Sekta zote KUU za ULINZI na USALAMA hakyanani Tanzania ingekuwa IMARA maradufu ya ilivyo sasa. Na anaweza pia akawatumia hata katika Benki Kuu na Bandari bila kusahau upande muhimi wa MIFUGO na ARDHI ambako kote huko ukiwaweka WANYARWANDA nakuambia sasa hivi Tanzania itakuwa New York au Kuala Lumpur au Shangai. Naunga mkono 100% HOJA kuwa ipo haja tena ya HARAKA mno Mheshimiwa Rais awatumie WANYARWANDA na hasa hasa wale tu wa KABILA lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu la WATUTSI lakini akikosea na kuwachukua wasio WATUTSI Tanzania ITAPOROMOKA na kuwa MASIKINI na hata kuingia katika MIZOZO ya hapa na pale. Ubarikiwe sana Mkuu na UZI wako huu NIMEUPENDA KUNAKOTUKUKA.
 
Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.

Ni kawaida kwa mkuu wa nchi ukiona mambo hayaendi kwenye sehemu unazotaka ziende kasi kutafuta wataalamu wenye uwezo,ari,na nguvu kwenye maeneo husika kuwaajiri kukusaidia toka nchi zingine.

Tanzania haihitaji kwenda kuwafuata Ulaya au Marekani wanakoweza taka mishahara mikubwa.Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao.

Hili si la ajabu.Mfano sekta ya elimu Kenya ilikuwa mbaya mno na ilikuwa hovyo sana miaka ya sabini.Uganda walikuwa wako vizuri sana kwa nchi zote Afrika mashariki.Idd amin aliposhika Uganda walimu wengi walikimbia uganda wakatorokea Kenya.Kenya ikaamua kuwatumia kwa kuwapa kazi na vyeo kama walimu wa shule za serikali za kawaida,walimu wakuu hadi maafisa elimu wa wilaya na mikoa na wizarani.Sekta yote ya Elimu walikabidhi kwa waganda.Waganda wakaitengeneza na kuisuka sasa hivi kenya inaongoza Afrika mashariki nzima kwa uzuri.Uganda baada ya Amin kuiporomosha na viongozi waliofuata kutoitilia maanani imebaki kusuasua

RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.

Pia aangalie maeneo mengine kama Mipango miji nk na kule ambako anaona Rwanda imefanya vizuri waje watusaidie.

Sioni sababu kwa nini Raisi aendelee kuumiza kichwa kwa ajili ya watendaji ambao hawaendi na kasi yake.Aangalie nje awalete haraka twendelee na safari.

Rwanda ni rahisi kupata wataalamu wazuri kwa mshahara mdogo wa kawaida tofauti na kuwachukua wataalamu hao toka nchi zingine kama Kenya,Uganda au nchi zingine za nje au DIASPORA watanzania walioko nje.Wanadai bei kali utafikiri sio watanzania.
Hapa ndipo tunaposema kuna watu wanatumia tumbo kufikiri.
 
Back
Top Bottom