Muogope Mungu wewe Na hzo Photoshop zako za kiduwanziSiJAROGWA kama wewe ulivyorogwa
Kama wabunge wenu ndo style ya akina Mlinga Na NS...hakuna anayekushangaa ukija Na pumba kama ulizokuja nazo....sanasana tunasikitika tu...Sijarogwa kama wewe ULIVYOROGWA
HV kwa akili yako ya kilumumba kuna mtu anaendaga kuloga hadharani mbele ya hadhira Tena mchana kweupe???hz akili za kilumumba hz shida sana aisee...Sijarogwa kama wewe ULIVYOROGWA
Magufuli anapenda nchi iende kasi kimaendeleo.Lakini kuna maeneo watendaji wanavuta miguu na kubinya midomo hawaendani na kasi anayotaka kwenda nayo Magufuli.
Ni kawaida kwa mkuu wa nchi ukiona mambo hayaendi kwenye sehemu unazotaka ziende kasi kutafuta wataalamu wenye uwezo,ari,na nguvu kwenye maeneo husika kuwaajiri kukusaidia toka nchi zingine.
Tanzania haihitaji kwenda kuwafuata Ulaya au Marekani wanakoweza taka mishahara mikubwa.Magufuli amwombe Kagame ampe watu wenye uwezo washike sehemu zinazozengua ambako watendaji si wabunifu na ni watu wa kubeza beza tu aweke wanyarwanda walau washike kwa miaka mitano kwa mishahara anayotaka Magufuli.Atawapata kibao.
Hili si la ajabu.Mfano sekta ya elimu Kenya ilikuwa mbaya mno na ilikuwa hovyo sana miaka ya sabini.Uganda walikuwa wako vizuri sana kwa nchi zote Afrika mashariki.Idd amin aliposhika Uganda walimu wengi walikimbia uganda wakatorokea Kenya.Kenya ikaamua kuwatumia kwa kuwapa kazi na vyeo kama walimu wa shule za serikali za kawaida,walimu wakuu hadi maafisa elimu wa wilaya na mikoa na wizarani.Sekta yote ya Elimu walikabidhi kwa waganda.Waganda wakaitengeneza na kuisuka sasa hivi kenya inaongoza Afrika mashariki nzima kwa uzuri.Uganda baada ya Amin kuiporomosha na viongozi waliofuata kutoitilia maanani imebaki kusuasua
RWANDA imeonyesha kuna watu wanaweza tuwachukue tuwatumie.Eneo kama la SHIRIKA LA ndege awachukue toka Rwanda kuanzia Marubani,mainjinia hadi ma AIR HOSTESS,menejiment nk watutengenezee shirika.
Pia aangalie maeneo mengine kama Mipango miji nk na kule ambako anaona Rwanda imefanya vizuri waje watusaidie.
Sioni sababu kwa nini Raisi aendelee kuumiza kichwa kwa ajili ya watendaji ambao hawaendi na kasi yake.Aangalie nje awalete haraka twendelee na safari.
Rwanda ni rahisi kupata wataalamu wazuri kwa mshahara mdogo wa kawaida tofauti na kuwachukua wataalamu hao toka nchi zingine kama Kenya,Uganda au nchi zingine za nje au DIASPORA watanzania walioko nje.Wanadai bei kali utafikiri sio watanzania.