mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

clinton gidioni

Senior Member
Oct 24, 2016
172
194
Ndugu zangu poleni na majukumu.
kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha .
kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT.
Nipo tayari kujifunza zaidi
naombeni kazi ndugu zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom