martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 273
Je, king,amzi cha continental hakina channel za bure?Channel za bure huwa zipo nyingi sana ila ni mpaka ufanye searching!...... Nenda kwenye remote yako click button ya menu then chagua DVBS installation halafu chagua 'single satellite search' halafu search then zitatokea channel nyingi tu ambazo ni free to air!