4.kipi ni muhimu kati ya binadamu na wanyamaMaswali muhimu kujiuliza.
1. Idadi ya watu na mifuko hifadhini inaongezeka au la?
2. Kuna idadi ya watu au mifugo ikifikiwa hifadhi itakuwa hatarini kuharibika au hata kutoweka?
3. Idadi hiyo ikifikiwa nini kifanyike?
Mkimaliza muende na kwa Wahadzabe mkawafurumusheUmenena vyema Sana mkuu...kimsingi wale wamasai walitakiwa waondolewe Mara tu baada ya ngorongoro kutangazwa kuwa hifadhi...hakukuwa na haja ya kuwaacha pale...ngorongoro kama ngorongoro inajitangaza yenyewe bila hao wamasai. Narudia kusema ngorongoro imekuwa ya kipekee kutokana na uwepo wa wamasai na mifugo yako ni upuuzi wa kiwango cha SGR. Hifadhi ya ngorongoro ni ya kipekee bila hao wamasai na ng'ombe zao...PERIOD
Wazungu wanawapenda wamasai lakini na kuwaona huko pia ni fahari kwao! Sasa we endelea na upambe tu mkimalizana nao muende na kwa Wahandzabe mkawafurushe nao maana hii ni awamu ya kumnyanyasa mwananchi wa kawaida
Hata na wao wakiwa hifadhini wafurumushwe tu... Tanzania Ina maeneo kibao ya binadamu kuishi sio kwenye hifadhi za taifa..Mkimaliza muende na kwa Wahadzabe mkawafurumushe
Hili linaingia kwenye namba 3. Unapoamua hatima ya hifadhi na wakazi wake lazima upime jambo gani litakuwa na manufaa kwa pande zote. Sio zero sum game, si lazima mmoja apoteze ili mwingine apate.4.kipi ni muhimu kati ya binadamu na wanyama
Hii nchi haina watafiti hadi uchukue mapendekezo ya waandishi makanjanja waliolipwa kufanya ziara siku mbili na kupigapiga picha kufanya maamuzi ya kuwaondoa masai ngorongoro? Unataka kuua cultural heritage ya kabila la masai ambao kwao kukaa kwenye mazingira yao asili ndani ya ngorongoro ni kivutio cha ziada kwenye utalii? Hakuna namna ya kuthibiti ongezeko la shughuli za binadamu ngorongoro badala ya kukimbilia kuondoa hao masai?................unaweza kuwaona wanyama pekee Serengeti, lakini ngorongoro ni pa kipekee ambapo binadamu na mifugo yao wana co-exist na wanyama pori kwa miaka mingi sasa, na hicho ni kivutio kikubwa cha utalii unaotuingizia pato la taifa........Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo.
Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa wanaripoti kutoka Hifadhi ya Ngorongoro na kueleza ualisia unaoendelea hapo Hifadhini.
Kumejitokeza kundi la wajinga flani kwa maslahi yao binafsi bila kuangalia hali ilivyo wameanza kampeni ya kuwashambulia waandishi hao.
Tuangalie uhalisia, taarifa ni kuwa kuna jamii ya watu wachache ni wanufaika na shida za watu walio wengi maskini, huko Ngorongoro Tuendako watoto wanakufa, hakuna barabara, hakuna huduma za kijamii nk ndo maana MECIRA tunasema hatua za haraka zichukuliwe kuondoa hali ya hatari zaidi baadaye na sasa.
Shida inayoonekana hapo ni wafugaji kuingilia hifadhi, kwa ajili ya malisho na Taifa linaweza kukosa watalii kwani watakuwa wanafika kwenye hifadhi badala ya kuona pundamilia, au Twiga wanakutana na Ng'ombe na Taifa kukosa mapato yatokanayo na utalii.
Lakini pia kizazi Cha Sasa kitaona mazingira rafiki kwa malisho ni kwenye hifadhi kwani kitaona hakuna katazo lolote, kama wanahabari tunapaswa kuishauri serikali njia sahihi za kuepukana na hili tatizo, kazi iendelee.
Hakika mapendekezo ya Kitenge na Oscar* yanatakiwa kuchukuliwa haraka hatua za makusudi kwa ajili ya kuokoa kizazi ambacho kinaishi maisha hatarishi, na kuokoa hifadhi kuondokana na hatari ya kuwa jangwa.
View attachment 2111203
View attachment 2111204
View attachment 2111205
4.kipi ni muhimu kati ya binadamu na wanyama
Ni mpumbavu pekee atakayepingana na bandiko lako. Uzuri limeendana na picha na nimependa uliposema mtalii badala ya kuona pundamilia atakutana na ng'ombe.Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo.