Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

Ficha ujinga, ukipitia hoja za lissu ni shule tosha ya sheria. Ulipaswa kumpongeza kwa uzalendo wake
Sikushangai, kwakuwa najua si tu umependa uzuri wake, bali mpaka hata ujinga wake.. unataka kuniambia hakuna zuri lolote katika kuzuia mchanga huo? kwan hujui hoja za chadema kwa mda mrefu kuhusu rasilimali? Umeisoma katiba ya Chadema? Kwani Sila hakuwa kama Tudu lissu? Unajua sasahivi yuko wapi baada ya kushindwa uraisi? Endelea kufichua "ujanja wako" wa kufikiria na kutafakari kuhusu;
 
Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo TBC1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban Kisu, aliyekuwa mbunge kupitia NCCR Mageuzi Mhe Machari Sanjari na Dr Yaredi Yakusa wamesema:
  • Wameshangazwa na watu ambao kwa muda mrefu wamepambana kuhakikisha wizi uliokuwa unaendelea unakomeshwa, lakini sasa wamegeuka na wanataka ACACIA waachwe kwa madai ya kuogopa kushitakiwa.
  • Wamshaangaa Mh Tundu Lisu kwa U turn ya aina yake aliyoionyesha baada ya hatua kuanza kuchukuliwa.Amtilia mashaka huenda ameonjeshwa ili anyamaze kwani makampuni haya ni mabingwa kwa kuhonga.
  • Adai kuipiti mikataba ya MIGA na kugundua kuwa hakuna mahari ambapo mikakataba hiyo inampa mwanya na kumlinda muwekezaji anapokuwa mwizi ama mdanganyifu.
  • Adai kuwa kwa sasa wanasheria na watetezi wa udanganyifu huu wako kwenye hatua ya ujinga na wanaelekea kwenye hatua ya upumbavu.
  • Awaasa watanzania kusimama pamoja kutetea Mali zao na kuachana na hofu wanayo pandikiziwa.
  • Asema ni heli kupambana Leo na kuihami Mali yetu inayopotea kwa gharama yoyoye na so kuiacha iendelee kuondoka kwa kisingizio cha kuogopa kushitakiwa.

Njaa mbaya sana!! Lakini unajua Machali ni ng'ombe aliyekatwa mkia huna thamani hata makombo ya mezani kwa magu na makondakta hulambi pole wewe.
 
Njaa ni kitu kimoja kibaya sana. Anayasema hayo ili media zimuandike kisha aandikwe fent ford na mkulu amuone ili angalau apewe shavu na kuweza kusitirika.

Njaa huondoa watu ufahamu na hata kudhalilisha utu wao. So sad kwa kijana kama huyu kwa kweli dah!
Kweli mkuu njaa mbaya
 
Inafaa Bunge liweke rekodi za kila sheria na jinsi wabunge walivyoipigia kura tujue nani kapitisha nini na nani kakataa nini.
Mkuu kwani kuna sheria inayopita bila kupitishwa na wazee wa ndiyooo su wazee wa kuunga hoja mkono asilimia mia kwa mia?
 
Hoja ya Lissu ni sahihi sana lakini huyu Machali anafanya kazi ya kujipendekeza bila hoja. Huenda anatafuta umaarufu kwa Rais. Watu kama hawa Rais anatakiwa kuwa makiji sana dhidi yao.
 
Hivi wagonga meza nao wanapata wapi ujasiri wa kuongelea hoja walizozipitisha kwa mbwe mbwe mle mjengoni?wakuchapwa viboko walitakiwa wawe wao maana ndio waliotufikisha hapa tulipo kwa kujivunia uwingi wao
 
Sikushangai, kwakuwa najua si tu umependa uzuri wake, bali mpaka hata ujinga wake.. unataka kuniambia hakuna zuri lolote katika kuzuia mchanga huo? kwan hujui hoja za chadema kwa mda mrefu kuhusu rasilimali? Umeisoma katiba ya Chadema? Kwani Sila hakuwa kama Tudu lissu? Unajua sasahivi yuko wapi baada ya kushindwa uraisi? Endelea kufichua "ujanja wako" wa kufikiria na kutafakari kuhusu;

Watanzania saa nyingine hukatisha tamaa! Lissu amekuwa akilalamikia sheria na mikataba ya madini siku zote, hata sasa anachokisema ni kwamba serikali iwe makini na ishauriwe vizuri kabla ya kuvunja hiyo mikataba ya madini ili isilete hasara baadae kwa taifa.

Anachohimiza ni uangalifu kuhusu hatua za kuchukua, na anasema vile akiwa na ufahamu na uzoefu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.

Sasa unaposema kapewa pesa na wazungu ni kauli ambayo hata kwa akili za kawaida haiji. Kuhusu Slaa sioni hoja inayomhusisha moja kwa moja na Lissu
 
Wanaoitetea Acacia Wako Kwenye Stage ya Ujinga Wanaelekea Upumbavu...!!!!

Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo tbc1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban Kisu, aliyekuwa mbunge kupitia NCCR mageuzi Mhe machari sanjari na Dr Yaredi Yakusa wamesema:

Wameshangazwa na watu abao kwa mda mrefu wamepambana kuhakikisha wizi uliokuwa unaendelea unakomeshwa,lakini sasa wamegeuka na wanataka Acacia waachwe kwa madai ya kuogopa kushitakiwa.

Wamshaangaa Mh Tundu Lisu kwa U turn ya aina yake aliyoionyesha baada ya hatua kuanza kuchukuliwa.Amtilia mashaka huenda ameonjeshwa ili anyamaze kwani makampuni haya ni mabingwa kwa kuhonga.

Adai kuipiti mikataba ya MIGA na kugundua kuwa hakuna mahari ambapo mikakataba hiyo inampa mwanya na kumlinda muwekezaji anapokuwa mwizi ama mdanganyifu.

Adai kuwa kwa sasa wanasheria na watetezi wa udanganyifu huu wako kwenye hatua ya ujinga na wanaelekea kwenye hatua ya upumbavu.

Awaasa watanzania kusimama pamoja kutetea Mali zao na kuachana na hofu wanayo pandikiziwa.

Asema ni heli kupambana Leo na kuihami Mali yetu inayopotea kwa gharama yoyoye na so kuiacha iendelee kuondoka kwa kisingizio cha kuogopa kushitakiwa.
 
Machali u teacher wake wa kuunga ungaa alfu anabishana na TL bila hoja hakika Dogo anajidharirisha
 
Mkuu kwani kuna sheria inayopita bila kupitishwa na wazee wa ndiyooo su wazee wa kuunga hoja mkono asilimia mia kwa mia?
Inatakiwa kila sheria ipigiwe kura,halafu kilakura iwe ya wazi, halafu kila mbunge anavyopiga kura iwekwe rekodikwenye tovuti ya bunge kapigaje.

Siyo mbunge anapiga domo sana kuhusu kitu,halafu wakati wa kupiga kura anapiga vingine.

Au wabunge wanapiga kura kama ng'ombe walio zizini na kulia"mooooo".
 
Huyu nae tangu ahamie lumumba akili yake haipo sawa,,ila naunga mkono juhudi za Magufuri kuhusu madini japo sikumpa kura na wala 2020 sitampa pia
 
"Akili za Mchanga" Hivi madini yote yanayotoka nchi hii nyie mmeona mchanga tu!
 
Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo TBC1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban Kisu, aliyekuwa mbunge kupitia NCCR Mageuzi Mhe Machari Sanjari na Dr Yaredi Yakusa wamesema:
  • Wameshangazwa na watu ambao kwa muda mrefu wamepambana kuhakikisha wizi uliokuwa unaendelea unakomeshwa, lakini sasa wamegeuka na wanataka ACACIA waachwe kwa madai ya kuogopa kushitakiwa.
  • Wamshaangaa Mh Tundu Lisu kwa U turn ya aina yake aliyoionyesha baada ya hatua kuanza kuchukuliwa.Amtilia mashaka huenda ameonjeshwa ili anyamaze kwani makampuni haya ni mabingwa kwa kuhonga.
  • Adai kuipiti mikataba ya MIGA na kugundua kuwa hakuna mahari ambapo mikakataba hiyo inampa mwanya na kumlinda muwekezaji anapokuwa mwizi ama mdanganyifu.
  • Adai kuwa kwa sasa wanasheria na watetezi wa udanganyifu huu wako kwenye hatua ya ujinga na wanaelekea kwenye hatua ya upumbavu.
  • Awaasa watanzania kusimama pamoja kutetea Mali zao na kuachana na hofu wanayo pandikiziwa.
  • Asema ni heli kupambana Leo na kuihami Mali yetu inayopotea kwa gharama yoyoye na so kuiacha iendelee kuondoka kwa kisingizio cha kuogopa kushitakiwa.

Kashakunywa kikombe huyo! Anatafuta kiki masikini. Kumbe bado yupo? Huyu ni mfano wa vijana wachache waliozimika kama kibatari. Poor Machali, too late to make headlines buda
 
Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo TBC1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban Kisu, aliyekuwa mbunge kupitia NCCR Mageuzi Mhe Machari Sanjari na Dr Yaredi Yakusa wamesema:
  • Wameshangazwa na watu ambao kwa muda mrefu wamepambana kuhakikisha wizi uliokuwa unaendelea unakomeshwa, lakini sasa wamegeuka na wanataka ACACIA waachwe kwa madai ya kuogopa kushitakiwa.
  • Wamshaangaa Mh Tundu Lisu kwa U turn ya aina yake aliyoionyesha baada ya hatua kuanza kuchukuliwa.Amtilia mashaka huenda ameonjeshwa ili anyamaze kwani makampuni haya ni mabingwa kwa kuhonga.
  • Adai kuipiti mikataba ya MIGA na kugundua kuwa hakuna mahari ambapo mikakataba hiyo inampa mwanya na kumlinda muwekezaji anapokuwa mwizi ama mdanganyifu.
  • Adai kuwa kwa sasa wanasheria na watetezi wa udanganyifu huu wako kwenye hatua ya ujinga na wanaelekea kwenye hatua ya upumbavu.
  • Awaasa watanzania kusimama pamoja kutetea Mali zao na kuachana na hofu wanayo pandikiziwa.
  • Asema ni heli kupambana Leo na kuihami Mali yetu inayopotea kwa gharama yoyoye na so kuiacha iendelee kuondoka kwa kisingizio cha kuogopa kushitakiwa.

Televion station TBC, mtoa maada Machari , what do you expect
 
Mbona watanzania wengi tena wasomi wanashindwa kumuelewa Lisu?Yeye hapingi hatua alizochukua Rais, Yeye anatahadharisha kwamba ilikuwa ni vyema kabla mkulu hajaanza kuchukua hatua stahiki ilitakiwa kwanza areview sheria na mikataba na ndo kiiini kikubwa kinachowafanya hawa wazungu watugeuze mabwege na kuwa na jeuri ya kutuibia.Mm naongezea si wizi wao tu, bali hata watanzania waliokubali kuingia mikataba hii mibovu nao ni wezi kwa njia moja au nyingine.Mtu anachimba dhahabu miaka nenda rudi huku halipi kodi kwa madai akidai hajawahi pata faida na hafungi mgodi haya ni maajabu.Ningekuwa na uwezo ningelilivunja bunge.Tunaibiwa mchana kweupe wao wakazana na ndiyoooooo tu.
Juzi hapa tunaelezwa kwamba shilingi inazidi kuimarika bunge zima sijamwona mtu ananyosha kidole kuhoji inaimarika kivipi wakati inadondoka kila sku unapoiconvernt kwenye £ au $ na bado tunacheka haya mambo vpi waungwana? Au wanachukulia kwamba ss ni mbumbumbu mzungu wa reli kwa hesabu za kibashite kwamba tukienda dukani na kukuta bidhaa zimepandishwa bei tunajua thamani ya shilingi imepanda kwa vile imeongezeka in digt ?
Hii nchi ni kuiweka tu mikononi mwa Mungu ila wajue tu Mungu hutoa kwa wakati anaohitaji yeye.
 
Mimi nina mashaka na chama cha Chadema, nilikuwa nawaamini sana, lakin baada ya Sila kushndwa urais na kukimbilia Canada, kwasasa sitashangaa kumuona Lissu akihama nchi baada ya kumaliza kazi yake aliyopewa na how Mabepari, kwani walijua kuwa ni moja ya wanasheri wakubwa na wanaoweza kugundua upungufu wa mikataba hiyo mibofu ya madini, hivyo wakaona njia pekee ni kumununua
Wachekesha sana. HIVI Aliepitisha haya madudu na anaewaasa msizame zaidi nani kanunuliwa?
 
Back
Top Bottom